Recent content by Graduate since 2017

  1. G

    Vibarua viwandani au part time job kwa hapa Dar es Salaam zinapatikana wapi?

    Mimi ni kijana wa miaka 17 nikiwa na Elimu ya chuo kikuu shahada ya uhandisi wa mitandao na mitambo! Naomba kutumika Kama msaidizi Kwa kutumwa kazi mbalimbali maana najua watu wengi wako bize na Mambo ya kiofisi hata kushindwa kupata muda wa kufanya au kusimamia vitu vingne. Nipo tayari kutumwa...
  2. G

    Nahitaji gari ndogo Aina ya IST, Raumu, Spacio, Ractis, Funcargo na gari nyingne isiyozidi cc 1290

    Nahitaji gari ndogo Aina ya IST, raumu, spacio ,Ractis ,funcargo na gari nyingne isiyozidi cc 1290 Kwa maelewano ya kuleta hesabu ya 150000/week bila kuchelewa. Nipo Dar es salaam wilaya ya Ubungo kata ya msigani mtaa wa kwa Yusuph. Nna akaunti ya bolt na Uber zilizo active hivyo huna haja...
  3. G

    Mwenye uwezo wa kuwekeza kwenye mawazo yangu yanayohitaji Pesa tu ili yaweze kuwa utajiri na kunisahaulisha machungu ya Elimu yangu iliyouwawa namfumo

    Asante mkuu naimani watu hao wapo sabu sio wote wenye pesa wanaamini kila biashra kwahyo muhimu kuchanganua vzuri MTU akaelewa akathubutu kuweka pesa yake
  4. G

    Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

    Kuna alienda Malinyi atupe update? Na wale walioko Dar ambao wangependa twende tukaangalie fursa zilizopo na kujifunza kuhusu Mishe zoote za huko mgodini! Mm n mpenzi wa kujifunza kwa vitendo hvyo kupoteza hela za nauli kwenda kujifunza sio shida afu weng humu wanaume tunalala popote mbona...
  5. G

    Mwenye uwezo wa kuwekeza kwenye mawazo yangu yanayohitaji Pesa tu ili yaweze kuwa utajiri na kunisahaulisha machungu ya Elimu yangu iliyouwawa namfumo

    Asante umenena vyema sana mkuu ila maana yangu kuwa sio MTU aniamini na kunipa million zote hizo wakat hanifahamu ila nnachotaka awe mshiriki pia katika wazo langu huku nikiwa mtendaji... Hvyo sidhani kama unaweza weka pesa sehemu sasaivi bila kuwepo sehemu husika au MTU wa karibu unaemuamin...
  6. G

    Mwenye uwezo wa kuwekeza kwenye mawazo yangu yanayohitaji Pesa tu ili yaweze kuwa utajiri na kunisahaulisha machungu ya Elimu yangu iliyouwawa namfumo

    Mimi ni Kijana wa miaka 26 nikiwa na shahada ya uhandisi wa mitandao na mawasiliano...baada ya kuhangaika sana bila majibu nimeambulia kufahamu fursa nyingi ambazo nimetumia na akili yangu kidogo kuweza kupata mawazo kadhaa ya kibiashara ambazo zenye kuleta matunda chanya kwa muda mfupi sana...
  7. G

    Vibarua viwandani au part time job kwa hapa Dar es Salaam zinapatikana wapi?

    Asante Sana umenena vyema haya ndio mawazo ambayo alietoa unajua kabsa amewah au ndo yupo kwenye gari moja nawewe
  8. G

    Vibarua viwandani au part time job kwa hapa Dar es Salaam zinapatikana wapi?

    Uko na daladala? Naweza kuwa konda au hata Dereva .Mana leseni nnayo pia
  9. G

    Vibarua viwandani au part time job kwa hapa Dar es Salaam zinapatikana wapi?

    Shida ni kwamba bado Kama Wasomi au wanavyuo wengi tunasoma huku hatujui mtaa unahitaj nn? Kuna ombwe kubwa Sana Kati ya tunachosomea na kinachohitajika kwenye maisha halisiaa.... Niwaombe wale waliopo vyuoni sasaivi jaribuni kuwekeza Nguvu nying kwenye kutaka ujuzi zaidi na mpate muda kujua...
  10. G

    Vibarua viwandani au part time job kwa hapa Dar es Salaam zinapatikana wapi?

    Unajua shida yetu tulioweng ni wepesi kushauri kulingana na mazoea au kilichopo mdomoni Sana huku uhalisia tukiujua! Fatilia hata motivational speakers wanavitu vya msingi wanazungumza Ila wanasahau kitu inaitwa mtaa na maisha ya mtaa ni SoMo lisilohitaji tuition lazma utumie akili ya ziada na...
Back
Top Bottom