Recent content by Gracious philipo

  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kukumbwa na hali ya kumchukia mtu bila sababu?

    Hapana ndg sio hivyo maana kuna mwingine najikuta namchukia lakini hana kitu chochote cha kunizidi kabisa.
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kukumbwa na hali ya kumchukia mtu bila sababu?

    Je, ndugu ushawahi kukumbwa na hii hali ya kumchukia mtu bila sababu? Hii hali imekuwa ikinipata kwa nyakati tofauti kulingana na eneo nililopo yaani najikuta namchukia mtu fulani, hajawahi nikosea chochote lakini najikuta tu nafsi yangu haimpendi hata kumuona tu.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Kwa walio kwenye mahusiano nisaidieni na hili

    Je huwa mnafanya nini ili kupunguza stress zinazojitokeza katika mahusiano yenu?🤔🤔
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana mwenye damu ya upambanaji na uchu wa mafanikio kwa ajili ya uangalizi wa shamba

    Mbona hakuna mawasiliano unapatikanaje?
Back
Top Bottom