Recent content by gracemwakilasa

  1. gracemwakilasa

    Msaada wa kisheria kidogo

    Ushauri mzuri Sana huu Hatanmimi niliona Anaumia Sana Mana alimtolea Siri kwa ndugu wa mumewe Mambo yakazini na Yule ndugu akaanza kusimulia ndugu wa mume mpaka yakamfikia mumewe vikao vikaanza.Na kitu kilichomuuma zaidi Ni Ile Hali ya kusimulia yaliyomkutaga kwa mumewe hapo zamani Hali...
  2. gracemwakilasa

    Msaada wa kisheria kidogo

    Anavyosema ni kwamba Yule ndugu yake alipofika na kumuulizia Boss kwanza wote wawili hawakuwepo Secretary akamshauri asubiri na baada ya muda akatokea Yule Boss mdogo. Alipomfuata na kumuelezea shida yake ndo akaanza Yule Ni Nani wako? Akasema ni mama yangu mdogo kwa maana mume wake namuita Baba...
  3. gracemwakilasa

    Msaada wa kisheria kidogo

    Anasema huyo ndugu yake kamwambia mengine ya kazini na Kama sio huyo Mama kumwambia angejuaje
  4. gracemwakilasa

    Msaada wa kisheria kidogo

    Rafiki wa kazini.Na huyo Boss msaidizi Ni mwanamama
  5. gracemwakilasa

    Msaada wa kisheria kidogo

    Habari wadau najua humu mtu hawezi kosa ushauri mzuri. Nina rafiki yangu mmoja hayupo humu Ila alipata changamoto kidogo kazini. Yupo serikalini Ila mmoja wa Boss wake alimfanyia Defamation kwa familia yake akiwa mgonjwa. Kwamba aliumwa Sasa akawa amemuomba mmoja wa member wa family yake...
  6. gracemwakilasa

    Hali ni Ngumu Sana; Nimeulizwa Swali, Je Christmas ipo Mwaka huu au Imeahirishwa?

    Umechafukwaa.Samehe bwana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. gracemwakilasa

    Hali ni Ngumu Sana; Nimeulizwa Swali, Je Christmas ipo Mwaka huu au Imeahirishwa?

    Oooh my God!! Sent using Jamii Forums mobile app
  8. gracemwakilasa

    Ukweli uliofichwa sasa umefunuliwa, ni kuhusu T. B Joshua

    We mnyakyusa nini.Nimechekaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. gracemwakilasa

    Zoezi la kujiandikisha, nashauri watu wafuatwe majumbani kama Serikali inataka kufanikiwa, badala ya kuwasubiria watu kwenye vituo

    Huyu jamaa sometimes yes sometimes no.Ila walishamwelewa wenyewe ndo mana wakamtoa kule kuzuri( jokes) paschal usinirarueeeeee
  10. gracemwakilasa

    Changamoto za wasaidizi wa kazi za ndani(housemaids)

    Jamani kwa hiyo best hivyo visa mpaka.vya uchawi kuweka chunvi kwenye uji na kadhalika MTU asipokaauda mrefu na H/G achunguzwe Roho yake??japo ni kweli kuna maboss wana roho nzito ila sio kila Bosi asipokaa muda na mdada basi achunguzwe.Je Wewe hujawai pata vimbwanga vyao hata kidogo?
  11. gracemwakilasa

    Changamoto za wasaidizi wa kazi za ndani(housemaids)

    Mabeki 3 ni balaa si mchezo! Nilimpataga mmoja huyo Never forget. Nikiwepo kapoleeee kataratibuu Dooo ngoja niondoke kwenda kazini. Ataongea na simu na Viboyfriend vyake mpaka basi. Nikashangaa tu mtoto anasema Baby I love you.Baby I love you mwaaaaa! Kukauliza katoto vizuri kayapata wapi hayo...
  12. gracemwakilasa

    Kigoma: Mwalimu Mkuu aliyedaiwa kumpa mimba mwanafunzi aachiwa huru. Mwanafunzi adai hamjui aliyempa mimba

    O level kiswahili nilipata B.Lakini ukiniambia niandike neno likizo naandikaga Rikizo.Na ndio huona inafaa.Mpaka siku noja MTU mmoja aliponisema why napenda kuandika Rikizo wakati sahihi ni Likizo?sasa kwa kawaida Rikizo ndo inapendezaaaa(haaa haaa)
Back
Top Bottom