Recent content by Grace Nsabimana

  1. Grace Nsabimana

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Sawa! Nitamfikishia sifa zake mchambuzi,hayuko humu!🙏🏾
  2. Grace Nsabimana

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Ni uchambuzi tu wa Mpendwa katika Bwana aliyevuviwa uchaji na Roho mtakatifu!
  3. Grace Nsabimana

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Mkasa wa pili kuna mambo mengi mnooo ya kujifunza!👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾 Kuna mtu anaitwa "" RAFIKI " tuwe makini nao, ktk mkasa wa kwanza Rafiki alileta shida kwenye familia kwa kumkabidhi binti aliyesababisha mateso ktk ile familia na ni kama vile alikuwa Jini! Ktk mkasa wa pili pia tunamwona huyu Rafiki...
  4. Grace Nsabimana

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    WAPENDWA NAPENDA KU SHARE NANYI UCHAMBUZI WA MTUMISHI MMOJA JUU YA STORY HII 👇🏾👇🏾👇🏾 Jamani! Kuna vitu vingi moyo wangu unanishuhudia kuvisemea kutokana na ile mikasa! Tuliisoma bila kujifunza au kufafanua Kwanza kuanzia mkasa wa baba kuja na binti wa kazi hadi kifo chake! Nilijifunza kuwa...
  5. Grace Nsabimana

    Yanayoendelea Mei Mosi Naona aibu kujiita mwalimu

    Sawa kabisa! Ndiyo maana hata wewe Mwanafunz uliyepita kwenye Mikono yao ni Failure (Wameshindwa kukukwamua)
  6. Grace Nsabimana

    Gwajima amcharukia Diamond

    Tukiacha Ushabiki,Kiuhalisia Chibu Kamzid mbali Gwajima nanukuu kutoka kwenye wimbo ni wa Kitambo wa Msanii Mmoja "Watoto wanamjua Diamond na Joti zaid ya Kikwete" Gwajima Anasubir
  7. Grace Nsabimana

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Una Uhakika kuwa Ile kweli ni Document ya Uhamiaji?? Unadhani kila Anachosema Huyo uliyemsema Ni sahihi?
  8. Grace Nsabimana

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Kwahyo sasa NECTA wanaweza kumpa MTU yeyote Cheti cha MTU Mwingine ?? Kama yule Aliyepata "0" hajakihitaji? ??
  9. Grace Nsabimana

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    [emoji115] Mtoa Mada Amesema "CHETI" Wewe unasema Siyo Cheti tumuelewe Nani?
Back
Top Bottom