Yanayoendelea Mei Mosi Naona aibu kujiita mwalimu

Habari ndugu zangu !!

Leo ni Mei mosi hapa Moshi ki ukweli walimu hapa wananishangaza sana. Pamoja na madai yote ambayo hayajalipwa, kutoboreshwa kwa mazingira ya kazi na mambo mengine mengi wamejitokeza kwa wingi wanashangilia tena kwa nguvu zote kana kwamba hakuna matatizo yoyote.

Kwa yanayofanywa hapa sidhani kama kuna mtu anaweza kuwasikiliza walimu kwa malalamiko wanayotoa na watu wataendelea kuamini WALIMU SISI NI CHEAP LABOUR. WALIMU TUTADHARAULIKA MPAKA KESHO ngoja Mei Mosi ipite tutaona tu

Samahani kama kuna watu nitakuwa nimewakwaza
Ushaambiwa mwenye omba hakai foleni what do you expect?
 
Hakuna mwalim mwenye Division one
f444d75ba52fd4694fdf1fd620c586cb.jpg

Sio lecture ni lecturer! Lecture ni somo au kozi! Na lecturer ni mtu...mkufunzi!
 
Sasa ulitaka wanune?au wasiende kwenye maandamano ya May Mosi?na je hapo Ushirika wafanyakazi ni walimu tu,nina wasiwasi kama kweli wewe ni mwalimu sijui ulienda chuo gani,unaleta siasa kwenye mambo yasiyo ya kisiasa,kazi kulalamika tu ,je ufumbuzi wako ni upi
Hivi ukisema unaumwa halafu watu wakakuona unacheza na kupiga kelele nyingi nani atakuamini kama unaumwa ?
 
Nilijua lile shazi la watu lazima watu wa aina yako uumie roho maana kama huamin amin kilichotokea halaf pale ndio ngome kuu za upinzani,,,,lakin watu wameweka itikadi pemben wanasikiliza mkuu wa nchi akinguruma... Na wamefarijika sana nakushangaa wewe tu
Ni asilimia 10% tu ya watanzania waliyoyaamini maneno na ahadi zilizotolewa jana niamini mm
 
Baada ya hotuba hii waTz na raia walio wengi watarejea "kundini".
Ukiwauliza wengi wanakuambia hawaamini kama atafanya aliyosema inamaana mei mosi ya jana hukusikia ahadi tamu zilizotolewa na hakuna hata moja iliyotimizwa
 
Back
Top Bottom