Recent content by Gr8thinker

  1. G

    Oil & Gas Engineering China Scholarships

    Mbona Majina ya waliochaguliwa Scholarship ya kwenda kusoma China Masters na PHD kwa wanafunzi 22 mpaka sasa hayatangazwi na wizara husika Nishati na Madini? Kuna nini jamani? Mwenye taarifa atujuze maana wengi walikua shortlist ila mpaka sasa kimya na mwezi wa 9 mwanzoni vyuo ndo hufunguliwa.
  2. G

    Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

    Ametengewa 10 Billion ili aondoke movie iendelee chadema kuna mpasuko.... Sisiem ndo kazini
  3. G

    Kupunguzwa kwa matumizi (bajeti) wizara mbali mbali...

    inawezekana maana hii nchi aise hapana......waziri,naibu waziri,katibu mkuu,naibu katibu mkuu yani wote ni wateule wa raisi sasa unategemea wizarani fedha zisiwe located kwenye kampeni kweli
Back
Top Bottom