Kupunguzwa kwa matumizi (bajeti) wizara mbali mbali...

Magehema

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
428
27
Kuna tetesi kwamba ile monthly allocation kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya mawizara imepungua tangu kuanza kwa kampeni, ndo kusema fedha zaenda kwenye kampeni? Mtujuze mlio serikalini.
 
inawezekana maana hii nchi aise hapana......waziri,naibu waziri,katibu mkuu,naibu katibu mkuu yani wote ni wateule wa raisi sasa unategemea wizarani fedha zisiwe located kwenye kampeni kweli
 
Hilo halina shaka ndugu yetu. Taarifa rasmi zinasema kuwa JK amekomba account za serekali kwa ajili ya uchaguzi, na lilolokula pesa nyingi ni la picha zilizoprintiwa canada.

Haitoshi...mfano wakuu wa vyuo vya elimu ya juuu tayari wako kwenye mizunguko ya kuwaeleza wafanyakazi wao kukata matumizi yasiyo ya lazima, inashangaza..research, consultance, fieldwork inakuwa sio lazima kipindi cha kampeni.

Kwenye halmashauri wameambiwa hakuna hela kama shughuli hazihusiani na uchaguzi mkuu....seee?

Very sad
 
Back
Top Bottom