Recent content by GPP1922

  1. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mzani wa Wenda upande wa kurudi Dar unachezewa gari zinazidi uzito

    Barabara ya Iringa -Mafinga
  2. G

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mzani wa Wenda upande wa kurudi Dar unachezewa gari zinazidi uzito

    Upo Iringa karibu na Mji wa Tanangozi
  3. G

    JamiiForums Tanzania Faida za kua na wi-fi router zenye ubora na speed nzuri

    Naomba ufafanuzi kwa hiyo inayochukua watu kumi, je gharama za kila mwezi zipoje?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi: Giza la Wasaliti

    Pole kiongozi tunasubiri mambo vizuri!!
  5. G

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi: Giza la Wasaliti

    Safi sana!! Tunasubiri murndelezo!!
  6. G

    JamiiForums Tanzania Serikali yatenga Shilingi Bilioni 34 kujenga Makumbusho ya Marais Dodoma

    Nawaza hiyo pesa yote kingejengwa chuo kimoja cha ufundi stadi veta si ingetosha kuweka miundo mbinu yote!!
  7. G

    JamiiForums Tanzania Hospitali gani nzuri ya kutahiri watoto wa kiume hapa mjini Dar? Jina la Dokta Tafadhali!

    Nenda Rabininsia kwa Dr. Herman Wera
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nmeishiwa nguvu baada ya mke wangu kunijulisha hili

    Ni hatari, ila mpeleke hospital mana bado mapema inawezekana tatizo likapatiwa ufumbuzi!!
  9. G

    JamiiForums Tanzania Heri ya mwaka mpya 2024 ndugu zangu wana Jf

    Mwaka Mpya ukawe na mafanikio kwa wote!!!
  10. G

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuelezea mafanikio uliyoyapata 2023 na mipango ya 2024

    Nakutakia mafanikio mema kwa mwaka 2024 na mipango yako itimia kama ulivyopanga uku ukimuomba sana Mwenyezi Mungu!!?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupigwa hadharani? Mimi yalinikuta!

    Nikiwa form one jamaa wa form two kaja kunichokoza kinjuka njuka. Na jamaa kubwa siwezi kupigana nalo. Jamaa alijichanganya siku moja nilikamata kisu from no where, aisee nilimkosa kisu cha shingo mpaka jamaa alikuja kuniomba msamaha nikamwambia nilikuwa nakata koromeo bahati yako. Toka siku...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya ujasusi: Do not shout (Usipige kelele)

    Safi sana!!!
  13. G

    JamiiForums Tanzania TBT ya kibabe: Mabasi na vyombo vya usafiri Tanzania

    Iliyotimbukia mtoni ni Air Shengena/ No Challenge
  14. G

    JamiiForums Tanzania Nataka nimchome kwa ndugu zake

    Kama umeshagundua mapema achanae mana ni uchumba tu, bado hujafunga ndoa!!
  15. G

    JamiiForums Tanzania Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo: Jitahidi kumlea katika njia impasayo!

    Kina baba junior mkuje!!
Back
Top Bottom