Recent content by goyo

  1. G

    90.4% ya Watanzania wamkubali Rais Magufuli-Hapa kazi tu!

    Hahaaaahh!!! Mtabisha saaana ila hapo Kaz tyu!!! Tangia kapata uchaguz had ssa n miez mingapi!? Na vitu vingap vizur kafanya!! Hata mchaw mpe sifa yake!!
  2. G

    Matukio ya Rais Magufuli na timing za Lowassa

    Kwendraaaaa!! Losa atafute mbishe ya kufanya!! Tulisha delete file zake kichwan now maguli tyuuuu!! No matter wat!
  3. G

    Msukuma: Serikali ihalalishe Bangi na Mirungi

    Hiii ni balaa sasa!! Alisema usukuman bangi mtu anavuta atapata nguvu ya kulima heka mbili!!! Ingekua hivo c watu wangekua matajir!!! Mungu atuhurumie
  4. G

    CCM wanajichimbia kaburi Zanzibar

    Wapite hiv!!! Ccm kutawala bara inatosha!! Kwanza wanaubaguz wa rangi
Back
Top Bottom