Recent content by GOYA MNANDA

  1. GOYA MNANDA

    House4Sale Hamia kwa milioni 15 tu

    Ipo kisemvule dk 5 kutoka stend kuu ina vyumba 3 na sebule unalipia na kuamia share tangazo fanikisha 1ml utatoka kwa atakae fanikisha ili documents zote zipo 0683715151 Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  2. GOYA MNANDA

    Tsh Milioni 5 inaweza kujenga nyumba?

    Kama uwanja unao unajenga vyumba 2 vya kuanzia maisha yaani unaezeka paa 1 Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  3. GOYA MNANDA

    Wale tunaoanza Ujenzi 2022, Tupeane Start up Dondoo

    ukisimamia vizur inatosha sana hiyo Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  4. GOYA MNANDA

    Nikajua kujitolea ndio kuzingatiwa kupata ajira

    Hii ni platform kubwa ikitokea mwajir yupo sio mbaya ndoto ya kila maskin ni kufanya kaz ili maisha yaende Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  5. GOYA MNANDA

    Hata kama ni muhanga wa ajira, naipongeza Serikali ya mama Samia

    Ndio Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  6. GOYA MNANDA

    Nikajua kujitolea ndio kuzingatiwa kupata ajira

    Diploma Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  7. GOYA MNANDA

    Nikajua kujitolea ndio kuzingatiwa kupata ajira

    miaka hii ajira za utendaji nk wanaojitolea wnapewa kabisa barua na mkurugenz ikitokea ajira wanapewa periolity Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  8. GOYA MNANDA

    Nikajua kujitolea ndio kuzingatiwa kupata ajira

    Mimi nimeitimu chuo miaka 10 iliyopita yaan 2012 niliamini kujitolea ndio njia sahihi ya kuzingatiwa katika ajira nikajitolea kuanzia 2013 adi 2018 katika taasisi mbalimbali za umma kwa uaminifu mkubwa akika nimejifunza mengi makubwa mahusiano kazin nk unaachiwa ofis ya umma unafanya kaz zote as...
  9. GOYA MNANDA

    Hata kama ni muhanga wa ajira, naipongeza Serikali ya mama Samia

    Laptop kwa vijana wengi chuo ni fashion kivuta walembo geto na kuangalia movie tu kutumia kwa social media ila wanaotumia kusoma basi wanamsingi nao kutoka primary sec advance umetoka liwale uko umesoma sec ya kata tuition unasikia tu unaingia udsm unawaza laptop unaanzaje kumsawish mzaz...
  10. GOYA MNANDA

    Hata kama ni muhanga wa ajira, naipongeza Serikali ya mama Samia

    Kijana ambao ni muhanga wa ajira kwa miaka zaidi ya 10 toka nimehitimu chuo kwa fani Ugavi nafarijika kwa juhudi, mbalimbali ambazo serikali imefanya na inaendelea kufanya kuakikisha inapunguza tatizo la ajira kwa kiasi chake. Awamu hii chini ya Rais madam Samia kwa kiasi kikubwa wameajiri...
  11. GOYA MNANDA

    Kosa moja kubwa alilofanya Hayati Magufuli ni kumteua Samia kuwa mgombea Mwenza

    Wakati wewe unasema maoni yako kuna watu wanapanga kinachotaka kutokea miaka 20 mbele wanaamua wanafanya na kinatokea hivyo mawazo yako yatambue kuna maisha na bahati
  12. GOYA MNANDA

    Plot inauzwa Vikindu

    mazungumzo yapo mkuu usiogope pia kuna viwanja vya 2.5ml 2ml Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  13. GOYA MNANDA

    Wale tunaoanza Ujenzi 2022, Tupeane Start up Dondoo

    stores hakuna vingine vyote vipo Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  14. GOYA MNANDA

    Plot inauzwa Vikindu

    Nauza plot yangu yenye ukubwa wa square meter 950 ipo vikindu kwa mama jack km 2 kutoka barabara ya rami umeme upo maji yapo kuna ninaz eneo ni tambalale bei ni 15ml mazungumzo yapo 0683715151 Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
  15. GOYA MNANDA

    Mfumuko wa bei Zanzibar sasa imekuwa gumzo. Ni wakati sasa Rais Dkt. Mwinyi kujitafakari

    mfumuko wa bei upo kila mahar sema wezetu wamepata wa kuwasemea tu Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom