Ubaya Ni physical change. It is reversible. Tusije kulalamika mbeleni.
Mambo hubadilika na wakati mwingine mabadiliko yanakujaga ghafla bila maandalizi.
Tumeonya vya kutosha. Endeleeni. Mnayoyafanya Yana ole.
Jamaa akawauliza Kama Kuna wengine wanataka kutoka,, basi watoke haraka Sana kabla hajaanza kuongea.
Ila mzee tukerwe na tuwachukie wauaji wote na hata wauaji wa nyumbani. Muuaji Ni muuaji tu. Awe muisrael au mtanzania. Ni muuaji.
Tuwachukie wote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.