Recent content by GottoloveU

  1. G

    Mtanie wa juu yako

    utani mwingine mbaya
  2. G

    Bango la siku katika sherehe za Mei Mosi kitaifa hapa Dodoma

    Wewe ni lipuuzi kupita upuuzi wenyewe, nijuavyo wewe ni muumini wa mtu na sio chama, ulitoka ccm juzi kumfuata lowassa na sio kuifuata cdm, leo unatatizo gani na ccm? sio simba na yanga hii
  3. G

    Riba za mikopo kwa watumishi, CRDB na NMB

    Nchi gani wanatoza riba nafuu kuzidi hapa kwetu? (obvious zipo) Unayajua mazingira ya wao kutoza riba ndogo na changamoto za uwekezaji ktk nchi hizo? Ni kweli nchini kwetu siku zijazo riba itashuka lakini usidhani utaweza kufanya biashara kirahisirahisi kama miaka hii ndugu.
  4. G

    Riba za mikopo kwa watumishi, CRDB na NMB

    Km huna hiyo m45 unaanzaje? Lazima ukope. Mimi pia nilikopa M10 nimeiwekeza duka la mazaga,mpesa simu na spea zake kijijini nakamua faida ya wastani wa 1.5 kwa mwezi (ukitoa gharama zote za uendeshaji) Naanzia wapi kumshauri mtu asichukue mkopo benki? Maana kiuhalisia unashindwaje kuzalisha...
  5. G

    Riba za mikopo kwa watumishi, CRDB na NMB

    Riba ni kwa mwaka wewe, Pia ogopa taasisi inayotoza riba kwa mwezi, ie bayport utalia!
  6. G

    Hospitali ya wilaya ya Ukerewe haitoi huduma ya bima ya afya:

    Huku ni kuanza kuihujumu serikali tukufu ya Magufuli, majipu hayo
  7. G

    Hospitali ya wilaya ya Ukerewe haitoi huduma ya bima ya afya:

    Katika zama hizi za #HapaKaziTu inashangaza kuona unakuwepo uzembe wa hovyo kwa management ya hospitali ya wilaya kukosa karatasi za kusajili wateja wa bima ya afya na hivyo kusababisha wagonjwa kukosa huduma katika maduka ya dawa yanayohudumia wateja wa bima ya afya. Inawezekanaje? Wahusika...
  8. G

    Live updates: maazimisho ya sherehe za uhuru na zoezi la kufanya usafi nchi zima

    "Maadhimisho ya siku ya uhuru" sio sherehe za uhuru rekebisha heading we chagga land. Hakuna sherehe ni kazi tu'
  9. G

    Mnyika: Ripoti za Mwakyembe kuhusu madudu bandarini ziwekwe wazi, sio kutumbua majipu tu!

    We Ibilisi ungependa #Magufuli atulie au abaki kwenye msimamo wake?
  10. G

    Sakata la Makontena: Mwigulu, Saada Mkuya, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha wanatakiwa wawe ndani

    Vyama haviaminiki vimejaa wachumiatumbo, Kenyata amefeli, Chiluba ndioo daaa! Bora mtu kuliko chama
  11. G

    Tanzania Kuna viongozi Wazalendo ndani ya vyama Corrupt

    Mkuu mcubic naweza pata link nzuri ya azimio la tabora (ACT)
  12. G

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Shetani naye alikuwa na maswali ya dizaini hii, umenikumbusha ile muvi ya maisha ya Yesu BTW be specific, arudishe viwanja vilivyoporwa na viongozi au vilivyoporwa na ccm? La viongozi linaweza kutekelezwa haraka bila shida na halihusiani na chama, wamefanya hayo kwa matakwa yao si ya...
Back
Top Bottom