Recent content by GOTILANGU

  1. G

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Hapa kuna jamboo. Sio hv hv CCM gani? Mwenye uwezo wa kumuona huyu mama.
  2. G

    Lowassa: Tuzo ya amani imewaumbua CCM

    Reality comes from the source of reality.
  3. G

    Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

    Mwambie tu ukweli kuwa watu wa kutoka Mbeya HATUNAGA UNAFIKI. Ajue hata hali ya elimu mbeya iko juu bye bye bye CCM
  4. G

    Mbowe amshauri Kombani ajiuzulu

    Hatunaga kashfa kiukweli Poleni Wafiwa CCM na hasa Watanzania wote. Hivi kweli Lowassa akikasirika akaja kuenda mahakamani nani atapona
  5. G

    Jaji Lubuva kuandika historia mpya ya Tanzania

    Yapi kuesabia vituoni ndio soluhisho pamoja na sheria ukweli utakuwa wazi mbele ya mataifa yote
  6. G

    Umerogwa au hujitambui au pesa zimenunua utu wa fikira zako?

    Nisikitike kwanza kinachoendelea nchini hapa mi nijiulize watanzania tumerogwa au hatujui tunahitaji nn? Tunashabikia nn? Kwa nn? Tunahitaji nn? Tumeishije miaka iliopita? Je? Tumepata Yale tuliohitaji mpaka sasa na kama ni ndio tunajua cha kufanya ili tuendelee kupata tunayohitaji na kuwa na...
  7. G

    Ni taasisi ndio hutawala na sio binadamu (Soma kwa utulivu uelewe)

    Taasisi kwa lugha ya kigeni ni INSTITUTIONS which refers to laws, regulations, institute, policies, by laws even customs and traditions. Hizi ndio hutawala na ubora wa institutions ndio ubora wa maafankio na tabia ya institutions uadhibu pale unapoenda kinyume na ukwel hapa ni kuwa...
  8. G

    Madiwani 10 wa CCM na UDP wajiunga na CHADEMA

    Hongera mzee mkapa najua rohoni ulikuwa unafurahii tu kijana wako anavyopenya kwenye mawimbi ya rushwaa, visasi na vyeo ila alikuwa anaitwa askari wa mwamvuli wakt wako na nina imani ulikuwa haujawahi kumfukuza kwa simu hata maramoja ila kijana wako wako mulize ndani ya miaka 10 hii ya uongozi...
  9. G

    Wabunge wa Upinzani kutoka bungeni ni Utovu wa nidhamu - Kibonde (Clouds FM)

    Kibonde kakurupuka kifupi kapanik labda kaahidiwa udiwani ila kwa hili ilibidi tuungane dharula inatoka wapi jamn
  10. G

    Ukimwona mtu anapinga uundwaji wa Sheria ya Gesi na Mafuta muogope kama ukoma

    sishangai hata kidogo tunajua kufikiri vizuri watanzania ni kazi kubwa sana tena mno kama Watanzania wasomi kabisa wanashabikia madhara ya RICHMOND na kusahau kabisaa MULTIPLIER EFFECT iliozalishwa na RICHMOND na hata wamesahau PARETO OPTIMILITY kabisaa. Leo hii mikataba ya madini tulishaona ni...
  11. G

    Mjerumani amchambua Lowassa, awashangaa Watanzania

    Ni hatari kama mind ya mtu inanunulika kwa 50000 au 100000 kubadili akili ya kufikiri na kuwa mbumbumbu. Tanzania kuna watu wa ajabu sana
  12. G

    Juma Nature amkubali Lowassa

    Wakati unaleta habari hiyo umesahau kuwa JUMA NATURE ana kipaji sana cha muziki lakini kimemshinda itakuwa kufikir juu ya hili? kushney kabisa
  13. G

    Picha: Mkutano Wa ACT-Wazalendo, Shinyanga (Tarehe 19 Aprili, 2015 )

    Kijana unakataaa nafsi yako na kusaliti umma kisa umepewa hela au ahadi ya madaraka ambayo hujui utaipata ni ujinga mtupu yaani ukilaza unakuja unagombana na watu wanaotaka uje ujitambue kijana Wa aina hii ni LAANA kwa jamii yetu na nimpuuzi sana
  14. G

    Ufisadi wa bilion 230 za mabehewa 'feki' mazito yaibuka, sasa Waziri Mwakyembe kitanzini

    Kyela kuna kazi kubwa sana ila kule Kyela tunasema..." MWAKA HUU KIBOVU HAKIPITI..."
  15. G

    Zitto Kabwe: Sitopoteza muda kuwajibu waliotunga email feki

    Huwa hatuishi kulalamika kila siku tunaonewa , tunaonewa na chama tawala. Utasikia oooh CCM wezi, CCM mafisadi, CCM wao kwanza na tunalalamika kwelikweli ooh CCM wameharibu elimu yetu oooh CCM shaghalabaghala kila siku yaani haiwezi kupita siku hakuna malalamiko juu ya chama tawala chama...
Back
Top Bottom