Nisikitike kwanza kinachoendelea nchini hapa mi nijiulize watanzania tumerogwa au hatujui tunahitaji nn?
Tunashabikia nn? Kwa nn? Tunahitaji nn? Tumeishije miaka iliopita? Je? Tumepata Yale tuliohitaji mpaka sasa na kama ni ndio tunajua cha kufanya ili tuendelee kupata tunayohitaji na kuwa na amani. Na kama hatukuwapata basi wakati ni huu wakuyaanda ili tuyapate.
Tunasema tuwavumilie ni sawa na tunawavumilie na kuwapa nafasi kwa lipi? Mwaka 1995 niliwapa kura Yangu niling'atwa na kupulizwa wakat nakiona uchumi ukiimarika kumbe mikataba ya kuiangamiza nchi na kutufanya maskini ilikuwa ikisainiwa na biashara kufanyika IKULU kama vyombo mbalimbali vinavyoripoti hasa magazeti. Niliwapa kura Yang baada ya miaka 5 yaani mwaka 2000 ahadi au Sera ya kipindi kile nikielelezo kuwa nilidanganywa na viongozi wa CCM maana hawakutekeleza walichotuambia katika majukwaa.
Maisha bora ilikuwa kauli mbiu ya mwaka 2005 acha kabisa kwa kujiamini na kwa kutuahidi maisha bora kumbe kinyume chake CCM hawakutekeleza Sera za uchaguzi hivyo basi walinidanganya tena na nilipaswa kuwashitaki maana walinidanganya utekelezaji wa ahadi na Sera zao za uchaguzi ni kielelezo kuwa walinidanganya kabisa na kikubwa walikumbatia policy mbovu, laws na regulations zikakosa meno kabisa yaani wakashindwa kujenga taasisi thabiti ya URAIS.
MF: Kujikanganya katika issue ya akaunti ya escrow hapa ni kielelezo wakati pesa kubwa ya IPTL ikitakiwa kulipwa na bila kuchukua kodi na kusema si pesa ya umma na kufumbia suala la Richmond na kuliacha hewani mpaka Leo ni kuonyesha udhaifu mkubwa mno na kuendelea kuongea kashfa moja na kuacha ubadhilifu uliokithiri katika halmashauri zetu pesa ambazo ndio zilizokaribu na wananchi ambazo ukijumlisha kwa miaka waliokaa madarakani ni zaidi ya escrow hii serikali imeshindwa kujenga taasisi thabiti kwa kutumia kura Yangu mpaka leo na kikubwa kudharau ushauri wa wataalamu ndio kigezo kikubwa na hasa CAG. Mwaka 2010 CCM mlikuja na nguvu mpya kasi mpya yaani kutekeleza mliohadi asilimia ya mliotekeleza ni ushahidi kuwa mnatumia uongo kuingia madarakani maana vitu muhim hamkutekeleza kama ujenzi wa viwanda kama msingi wa ajira kwa vijana na maendeleo.
Kibaya pamoja na kutokutekeleza hayo mumekuja tena kuniambia Yale Yale na hapo ndipo najiuliza nimerogwa au? Na kibaya mnakubali kuwa CCM haipo tena kwakuruhusu kubebwa na MTU wapi mlishaona MTU katawala jamani? Ni INSTITUTIONS zilizothabiti ndio utawala na kwa CCM hilo halipo tena pamoja na uzuri wa magufuli wote ule alipaswa kutokuwa mgombea katika chama kile ambacho hakina INSTITUTIONS BORA imani Yang kwako ni sawa na imani niliompa kiongozi Wang ninaempenda mpk Leo lakini policy mbovu za chama chetu namaanisha INSTITUTIONS mbovu ndio zinazomfanya aendelee kuwa katika majukwaa kupiga kampeni badala ya kupumzika. Ndugu Magufuli kaka kwangu Mimi wewe ni dhahabu iliobebwa katika uchafu uliokithiri ndugu ukweli kuwa unataka uraisi kupitia katika Institutions mbovu yaani chama. Chama hakiwezi kujirekebisha bila kukaaa pembeni hata mkishinda bado ile hali ya utawala hamtabadilika kama mkiachia miaka mitano ndio mrudi nakubaliana kuwa CCM kuna viongozi wazuri mmekumbatia INSTITUTIONS mbovu au mmezifanya viwaadhibu pia.
CCM SITAWAPA KURA MWAKA HUU
Sababu:
1: Nataka mkae pembeni mjikumbushe mnapaswa kuwafanyia nn watanzania mkirudi mtakuwa bora sana kuliko mkishinda sasa na katika hili nawaomba watanzania tusiwe kama tumerogwa tukiadhibu chama hiki kiende shule kimetudanganya muda mrefu sana na akioni athari kukiacha madarakani ni kukiadhibu kuliko maana hakitajifunza na sisi tunataka kijifunza hata wasemeje hawawezi kubadilika kabisa maana Kikwete raisi wetu ni mfano kwa Magufuli tulivyomwamini mwaka 2005.
2: Nimewapa kura mara 4 zote kilichobora hakijapatikana pamoja na kufanya baadhi ya mambo kama barabara lakini haziendani na utajiri tunaoupoteza.
UKAWA
Mumezamilia kutuunganisha pamoja ila mumetumia njia ya mkato sana na ulazimishi mkubwa ila sio mbaya kwangu mm mmekuja wakati muafaka kama fimbo ya kutolea adhabu kwa CCM ila pia mkumbuke CCM kuna viongozi wazuri na kinachowatesa ni kudharau INSTITUTIONS walizoweka na sasa zinawaadhibu mkumbuke hilo.
Suala la mamluki hasa LOWASSA ahsante ameongeza ukali wa fimbo Yang imani Yangu kwake pamoja na yote mumempokea LOWASSA na si waziri MKUU pia hamkupokea Institutions za alikotoka ila amekuja kutekeleza institutions zenu na pamoja na changamoto za mapenzi ya mola chapeni kazi ya kutuunganisha pamoja kwa nia ya kuiadhibu CCM. Kama unakumbuka haya na mengine mabadiliko ya funzo ni muhimu. Kama CCM ni ileile inatosha kabisa
SITAWAPA KURA CCM MSIMU HUU