Usisumbuke ukisha fika chuoni hapo kama chuo hicho kina coz za afya utaratibu utapewa hapo hapo chuoni namna ya kubadili coz..au unaweza Ku re-apply upya
Unamapungufu maybe look at you again wkt unatongoza huenda unatoa promis kibao then unajikuta huwez kuztimiza so kuwa muwaz na uwe na msimamo sio Leo asha kesho mwajuma watakuganya kama automatic tellas mashine ATM.then itakuwa ngum kuona niyup wakweli unaye takiwa kumpa true love..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.