Recent content by Gosbert

  1. Gosbert

    TANZIA: Mratibu wa BAWACHA Wilaya ya Geita afariki dunia

    Nimebahatika kumuona akiwa jukwaani. Alikuwa mtu muhimu sana hasa katika kuwashawishi wamama kwenda CDM. Akisimama jukwaani watu wanasimama! Pengo kubwa sana kwa Chadema.
  2. Gosbert

    Mangula, Msekwa wampinga Nape mgogoro Bukoba,mgogoro sasa wahamia CCM Taifa

    Tamthilia ndio kwanza mbichiiiii! Kwenye hili tutaona na kusikia mengi.
  3. Gosbert

    Bibi kizee ahamia CHADEMA

    Ameona mbali sana huyu bibi akaamua kuwa sehemu ya mabadiliko ili historia yake isije kumhukumu.
  4. Gosbert

    Kinana atumia dk zaidi ya 45 kuiongelea CHADEMA

    Mimi nafikiri uchaguzi ujao wa kata 26 ndio tutajua wapinzani wa kupigia mfano.
  5. Gosbert

    Najiandaa kwenda kuwasikiliza wapiganie uhuru wa Tanzania pale mbugani Mwanza

    Watu ni wengi sana. Uwanja umetema watu na wengine wanazidi kuingia. Umati huu ulitakiwa epelekwe kwenye uwanja mkubwa.
  6. Gosbert

    Najiandaa kwenda kuwasikiliza wapiganie uhuru wa Tanzania pale mbugani Mwanza

    Mtaani kwetu kuna hamasa kubwa sana. Wengine wameenda mapema.
  7. Gosbert

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Ni kweli kaka. Hali ni tete huku jamani!
  8. Gosbert

    CHADEMA na CCM wanavyoiua Muganza - Chato

    Anaweza asigombee tena. Upepo ni mkali sana
  9. Gosbert

    CHADEMA na CCM wanavyoiua Muganza - Chato

    Niko Muganza. Ni kweli yalikuwepo malumbano ya nini kitangulie kati ya zahanati au madarasa. Diwani wa CDM ameweka nguvu kwenye zahanati na sasa mkandarasi anajenga boma. Kuna milioni 20 ambazo zimechangwa na wananchi tayari kwa kazi hii. Fedha hii itatosha kufikisha jengo kwenye linta. Awali...
  10. Gosbert

    Kibanda: Kinana ni Kimbunga

    Nimeipenda hii..
  11. Gosbert

    Ni LAZIMA Kamanda Kamuhanda naye apande kizimbani...

    anaweza kushinda kesi, lakini kwa Mungu hawezi kushindwa kamwe. Namwachia Mola.
  12. Gosbert

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    Shibuda awajibishwe kwa kauli na matendo yake yanayoivunjia CDM heshima mbele ya Watanzania.
  13. Gosbert

    Maxence Melo [JF Founder] HEARTFELT CONGRATULATIONS to you

    Happy Birthday to u Melo.Maisha marefu kwako na kijana wako.
  14. Gosbert

    Piga kura kuhusiana na TBC

    Strictly NO.....
Back
Top Bottom