Haaaaaa..... Everyone knows how Tanzanians have the lowest self esteem in East Africa. So, sishangai kwa sababu wanajua ajira na kila kitu kitachukuliwa na wakenya. Watanzania tuache kuwa watu wa kuogopa ogopa na kutojihamini, waache waje sisi tuna uwezo kupambana nao
Acha kukurupuka, kwanza linganisha kiwango cha Makerere university na vyuo vingine Tanzania, halafu ndo utakuja kutoa analysis yako. Look for the global or African University rankings
Kwa Makerere Uganda, huyo hawezi kupata kwa sababu huwa wanachukua A, B na in rear cases wanaweza kuchukua atleast a C katika somo mojawapo la Biology na Chemistry
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.