Recent content by goreha

  1. G

    ITV hizo kamera zenu mnazozipiga kijanja zinasaidia nini?

    Vipi kuhusu clouds tv kutoonyesha kampeni za UKAWA...hilo hujaiona
  2. G

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

    Maazimio ya kikao cha specialists muhimbili leo total tools down kutoka Emergency mpaka Labour Ward....zengwe hiloooooooooooooo
  3. G

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

    KWA TAARIFA NILIYONAYO..KULIKUWA NA KIKAO CHA MASPECIALIST ASUBUHI NA KIMEMALIZIKA KWA MAAZIMIO YA TOTAL TOOLS DOWN FROM EMD MPKA LABOUR WARD...HAYA PINDA NENDA TENA D'JUBILEE...MUNGU IBARIKI TANZANIA ,MUNGU MFUNGUE MACHO RAIS AONE HAYA nawasilisha
  4. G

    Maalim SEIF Jijini MWANZA

    kule kwimba kuna mzee mmoja anaitwa MAGENI,,ALIWAHI KUWA WAZIRI KATIKA AWAMU YA KWANZA NA NI MOJA YA WAASISI WA CUF....NAFIKIRI MAALIM KAENDA KUOMBA MWONGOZO
  5. G

    Zitto amkaribisha Kafulila CHADEMA

    bado hajafikia acceptance....stil yuko na denial...lets give him time
Back
Top Bottom