Recent content by GoPPiii.

  1. GoPPiii.

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

    Hata Lissu akishindwa naona amekuwa mshindi,sababu ametuonesha CHADEMA hakipo vile kinavojinasibu. Ni tawi.
  2. GoPPiii.

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tupate Angalau Medali Moja Katika Michezo ya Paris Olympics 2024

    Ushirikki mwema kwao.
  3. GoPPiii.

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Maumivu Makali Mbona Hatuwezi Kama Wenzetu?Tumelishwa Nini?

    Mwenge,ukipita eneo lenu jua imeisha hiyo.
  4. GoPPiii.

    JamiiForums Tanzania Swali la Msingi: Nani alitengeneza Uhaba wa Sukari kwenye huu Uchumi wetu wa Sekta Binafsi?

    Kama uhaba ulitengenezwa basi system iko corrupt,na haina intelijensia ki hivo kujua wahujumu wa namna hii.
  5. GoPPiii.

    JamiiForums Tanzania KERO Kila mtoto anatakiwa aende na kiasi cha Tshs 1,500 (Shule ya Msingi Makabe)

    Hutaki wafanye mitihani.!? Kama unataka unataka wafanye katika mazingira gani!? Mwalimu aandae maswali,akachape na ku print mitihani bure!? Wapi watamfanyia hiyo kazi bure!? Hata kama ni motisha,hutaki wajitafutie motisha,kweli buku jero ni ya kuja kulia hapa.
  6. GoPPiii.

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna njia yoyote ya kuacha kubet?

    Ni rahisi sana Mbona. Amua tu kuwa unaacha
  7. GoPPiii.

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Besikitasi Matercol.
  8. GoPPiii.

    JamiiForums Tanzania Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Kama hakuna data zinazoonesha ajali za usiku ni nyingi kuliko za mchana basi, hii hoja haina mashiko. Tupende kutafuta data kwanza. Huu ni uchumi,kazi za watu.
  9. GoPPiii.

    JamiiForums Tanzania Anko amenitafutia mishe ya kusafisha mazingira hivi amejali elimu yangu?

    7000 kwa siku. Chukua hiyo chap.
  10. GoPPiii.

    JamiiForums Tanzania Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama

    We jamaa balaa. Sema hii ya Extended family na mambo yalo ina changamoto sana.
  11. GoPPiii.

    JamiiForums Tanzania Naona Bunge linapiga chafya

    Mnafurahia script na maigizo. 'Enendeni mkawe wakali shughuli iishe'
  12. GoPPiii.

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wale wa Victoria Plazen tunasalimiwa
  13. GoPPiii.

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa UDOM wajibu madai ya kuwepo kunguni kwenye mabweni ya Wanafunzi

    Kunguni akiingia ghetto ni msala kutoka.
  14. GoPPiii.

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA Nusrat Hanje avaa sare ya CCM

    Tusiwacheke au kuwalaumu imefika hatua ambayo kila mmoja wetu anataka ku survive regardless ya njia anayotumia. Umerlayer wa kisiasa ni njia ya kusurvive.
Back
Top Bottom