Recent content by goodluckk

  1. G

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Prof. Lipumba na wafuasi wa CUF wakipata kipigo

    Kweli hii vidio inaendana na yaliokua yanazungumzwa na watu wa ccm bungeni siriusly
  2. G

    JamiiForums Tanzania Viongozi na wanachama 31 wa CUF wamepelekwa Gerezani Keko!

    Nafkir ustaarabu haununuliwi popote si lazima tufanane mawazo tofaut ni lazima ziwepo ila ziwe na mipaka
  3. G

    JamiiForums Tanzania Miezi miwili ya mahusiano tayari anataka tufanye ngono, huyu ni wa future kweli?

    Kama wewe unaona fimbo ya mbali haiuwi nyoka jidanyanye uwez kumfunga mbuz karibu na majani kwa kisingizio ameshiba
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kwa Zitto Kabwe, Mwandosya ni zaidi ya Taifa na Bunge, ni kweli?

    Mkuu hukufuatia vizur bunge alicho ambiwa zzk asizungumze si unacho kisema wewe
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kero tunazopata kwenye Nyumba za kupanga

    Duu ama kweli ukitaka lawama kaa kwnye nyumba za kupanga kero ninazo kutana nazo ni gubu la mke wa myenye nyumba atakutafuta kwa kila njia mpaka akupate sijui anataka atiwe mpaka sasa mwez huu nataka nihame keroooooo
  6. G

    JamiiForums Tanzania Navutiwa sana na mwanamke mweusi

    Kitu mnato haijalishi kala
  7. G

    JamiiForums Tanzania GE2015 Ni Tundu Lissu pekee(Sababu moja sifa kumi)

    Acha mambo ya ajabu mbona hao wanaotaka kugombea urais hujaitaji matokeo yao ya shule hizi ni chuki binafs
  8. G

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe hatarini kuumbuka, TPDC waweka hadharani gharama za Ujenzi wa Bomba la Gesi

    Hiv huwa kwanini hiz taarifa au garama hazitolew mpaka watu wapige kelele au ndio utaratibu
Back
Top Bottom