Recent content by goodluck matwego

  1. G

    Am tired aisee!

    Ww dada yangu akili zako ziko sehemu za siri so unacho kuwaza kitakuletea matatizo mengi kuliko faida bora ufanye kazi zako upate hela zako mwenyewe kuliko kukaa unawaza hela za wanaume tu na sisi hela zetu zina macho siku hizi.
  2. G

    Picha tu: Lowassa Mwanza

    Angalia basi taarifa ya habari hadi watu wa red cross wanasema hawajawahi kuona wingi wa watu km huu. Ww unasema si kweli?
  3. G

    Picha tu: Lowassa Mwanza

    Ebu kumbe watu wako humu kweli mnalipwa na akili zenu siyo nzuri kabisa ebu ww unayesema hapo si mwanza hauna aibu watu tuliokuwepo tunakuona haujielewi ni bora ukawambia hao babu zako ccm ili wajue nini cha kufanya.
  4. G

    Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Wote hao wanatumiwa na maccm tumeisha sema hata wachukue viongozi wote wa ukawa tukibaki na edo tu tutampa kura zote
Back
Top Bottom