Jipe muda wa kupumzika... hayo hata mimi yaliwahi kunitokea. Kila siku naumwa na Malaria, lakini niligundua sipati muda wa kupumzika. Kunywa maji kula pumzika... God is great utapata picha nzuri ya afya yako. Siku hizi wamezidi, simu inatengenezwa kwa kompyuta, redio kwa kompyuta, saa kwa...