Recent content by GOMA

  1. G

    JamiiForums Tanzania Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada

    Kama mtu alisajili shule yake kwa kufata sheria na taratibu zilizowekwa na serikali ina maana huu waraka wanao na wanaujua! Nchi imefikia kila mtu au vikundi vya watu vinajiamulia tu mambo yao. Sheria ifuate mkondo wake
  2. G

    JamiiForums Tanzania Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada

    Kinachotakiwa sasa kwenye hizi shule binafsi ukaguzi wa hesabu za fedha ufanyike kuondoa maneno maneno na malalamiko ya wamiliki na wazazi/walezi. Waangalie mishahara ya watendaji na wafanyakazi wote na kodi zao, waangalie matumizi na gharama zao mfano maji na umeme, waangalie gharama za...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Shule binafsi zapigwa marufuku kupandisha ada

    Elimu sio biashara!Inawezekana kabisa Tshs 150,000 ni ndogo kulingana na gharama za maisha lakini Tshs 1,500,000-3,000,000 kwa chekechea mpaka kidato cha NNE sio sahihi kamwe! Pia elewa kuwa unaposajili shule, unapojenga shule serikali inakupunguzia baadhi ya kodi( exemption) kuanzia...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Standard fee structure for private schools coming

    Shule ni long term service investment, huwezi kumchaji mwanafunzi primary au nursery 1.5m kwa sababu ya tamaa ya ada na kulipa investment muda mfupi! Shule inatakiwa iwe ni life time project! Walimu wa private kila siku wanahama mishahara yenyewe midogo.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Ya Magufuli na Dr. Tulia ni mpango wa CCM dhidi ya Lowassa

    Umesema kama watapigiwa kura?? Hehehee... Mwendo wa style ya Lubuva tu, inategemea wanataka nani ashinde sio suala la kura wala ushindani. Labda kama kura zitapigwa kwa kunyoosha vidole kama primary school
  6. G

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Kingunge Ngombale Mwiru ameokoka?

    Ina maana hujawahi kumuona Pombe akigonga kikombe Samunge? Imani gani ile?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kura za Dr. Magufuli dhidi ya Lowassa

    CCM ina wanachama rasmi waliojiandikisha kupiga kura 14,566,000 Mwanzo mlisema mnamtaji wa wanachama milioni 5, ghafla mna wanachama mara tatu zaidi..duh! Dead end for ccm come October 25, 2015
  8. G

    JamiiForums Tanzania Hivi huu mdahalo ulio Star TV ni kampeni au kuhamasisha amani?

    Hivi Polepole anazungumza nini?
  9. G

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Wageni wasiporuhusiwa kununua nyumba NHC zitadoda

    Msipouzwa mtadoda
  10. G

    JamiiForums Tanzania UKAWA kutokuhudhuria katika misiba ya viongozi wa siasa

    You are short in mind!
  11. G

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa tumekusikia na ushauri wako tutausimamia siku zote kama CHADEMA asilia

    Kwa sasa hata aje Obama na Cameroon wapande jukwaani na Magufuli hawataweza kubadilisha kitu! Mabadiliko ni kuitoa ccm
  12. G

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    Pressure ya uchaguzi kubwa sana, ccm hawana jinsi ni lazima watumie mbinu zote kabisa...ni ishara mbaya kwa ccm
  13. G

    JamiiForums Tanzania Lowassa acha kuhadaa Watanzania, sema ukweli wako juu ya kuchukia umasikini

    Jaribu kuzunguka Chato pia
  14. G

    JamiiForums Tanzania Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Kutokana na vuguvugu la kisiasa kwa sasa nchini na mvuto kwa watu wa haiba zote,matokeo ya twaweza yanakuja na maswali mengi si kwa utafiti huu tu wa uchaguzi mkuu bali pia kwa tafiti zilizopita. Mimi naamini katika MUDA/WAKATI..! Mambo mengi hujidhihirisha kutokana na wakati. Hulka, jinsi...
  15. G

    JamiiForums Tanzania CCM: Magufuli yupo tayari kwa Midahalo; tuna kila dalili ya Ushindi

    Huyu jamaa kajitoa ufahamu kama Polepole..! Hiyo ni panicky na desperate! Kwamtazamo rahisi hata kama kila siku mgombea wao atakuwa anapewa airtime ya masaa mawili kwenye Televisions zote na radio zote hakutakuwa na positive impact kwao, pengine watamtengenezea mazingira ya kuchukiwa! Wajipange...
Back
Top Bottom