Hapa nilipo nna madeni nimepigiwa simu na mdai anataka 1m yake, nikicheki nna madeni mengine nyuma, ndio last week nimepata getto la kuleta familia kipato cha kazini hakitoshi, kuna muda nakaa nawaza mambo ambayo sikuwahi waza kufanya... kinachonipa moyo kesho nayo ni siku 💪
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.