Mtoa mada Kama Kuna siku umetoa mada ya maana Basi ni Leo! Kwa maslahi ya taifa Lisu ni mtu muhimu Sana ila sijui km mkuu analifikiria Hilo ila kwa kweli KAMA rais anaweza afanye nchi yet sote hi
"USIFURAHI JUU YANGU EE ADUI YANGU NIANGUKAPO MIMI NITASIMAMA TENA"japo mpuuzi hamumpendi ila mi namsamehe toka moyoni cheo Ni dhamana na Ni funzo kwa watawala wote Kuweni watu wema kwa raia
Mtoa mada acha UJINGA!!! NA we katafute pa kugombea Unamchongea kitila mkumbo ili asiaminike achukiwe ili upate nn. Mbona hatupendani kiasi hiki watu waSingida? Lipi jema kwenu. Alikuja mkamshauri amwachie Mwigulu kakubali. Niko ULEMO unachosema siyo KWELI na hapa Ni nyumbani toka Jana...
Ikusaidie nn ?? Sikia wakenya Ni ndugu zetu. Na sio kwa mipaka ya ukoloni. Napingana na wore wanaoshadadia utofauti was hizi nchi mbili. Badala ya kupendana tunabaguana!! Huu Ni ujinga Wakenya acheni nyodo za kipumbavu kuwaona watanzania washamba Sana. Ninyi watanzania acheni UPOPOMA kujiona...
iboyamwaka2020,
Unampangia Cha kusema . Acheni watu watoe dukuduku kwa afya zao. Migogoro minginemnasababisha wenyewe !!!! Huyu Ni mtumishi wa Mungu kwani kosa lake nn?
Mapovu yote kisa katoa maoni au? Na wewe toa maoni yako siyo kutukana na kashfa lukuki kuwa mstaarabu ufiche udhaifu wako...
Sasa mjinga Nani hapa ? Mtoa mada Bora urudie kusoma ulichoandika huna jipya acha hasira utakufa kwa pressure but. Lete logic sio unashambulia mtu. Haya kauli ya TL haivumiliki kwa Nani? Kwa hiyo unatakaje. Fanya kazi acha kulialia !!!
Mbona wakenya mmepanic si mmezuia zetu na nyie msilete utopolo wenu KQ Hapa over. Maneno ya nn tuacheni na Corona yet mnayodai ipo I'll safari hi huyu mzee hajaribiwi NI JINO KWA JIWE hahaaaaaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.