Recent content by GOLDENSILVER

  1. GOLDENSILVER

    DOKEZO Responded Kunguni wanatutesa Wanafunzi tunaolala kwenye mabweni ya UDOM

    😂😂 Kama wazungu wanateseka na kunguni sisi ni nani😂😂
  2. GOLDENSILVER

    Huyu ndio Rais wa wanyonge sasa siyo yule anajisifu tu wakati wanyonge wanakufa njaa au kutekwa

    Bro ajira zinazotengenzwa na umeme... Daslam tu, tukiachana na part nyingne za nchi,... Serikali HAIWEZI kuwaajili hao watu wote waliojiajiri kwa kuwekeza kwenye umeme mzee, imagine watu wote wa stationary, photoshooters, hao vijana wanaochoma miziki, hospitali binafsi ambazo bdo hazijawa kubwa...
  3. GOLDENSILVER

    Huyu ndio Rais wa wanyonge sasa siyo yule anajisifu tu wakati wanyonge wanakufa njaa au kutekwa

    Kuna mtu mnamuite nyie na Kuna mtu yumo mioyoni mwa watanzania... Mnapigana kumtetea mama, lakini kwa nguvu... Sasa mkuu kulkua na haja ya kusema "huyu ndie raisi wa wa wanyonge, sio Fulani"... Acheni kulinganisha watu kama kwl anaupiga mwingi , aonekane tu, kusiwe na haja ya kumtetea kiasi hiko...
  4. GOLDENSILVER

    Dunia isifikiri Putin akitoka madarakani kwamba misimamo ya Russia itarudi nyuma

    Kjana achana na akili ya kawaida sasa fikiria deep... Kwasababu ukichukulia mambo ambayo sio ya kawaida kwa akili ya kawaida utamix madude
  5. GOLDENSILVER

    Mahindi ya Serikali yanauzwa 900 lakini yalinunuliwa 500

    Watu washatingwa sahvi😂😂
  6. GOLDENSILVER

    Nina maswali fikirishi kuhusu nadharia ya vimondo

    kaka em soma kwanza mahali google hata kuGoogle itakusaidia zaid mkuu
  7. GOLDENSILVER

    Nina maswali fikirishi kuhusu nadharia ya vimondo

    Mkuu mbna kama vile safar ya kuelezea itakua ngum kidg, me nakushauri fanya hvii Anza kufatlia soma soma vitabu, na google sana mambo na magazines za space ivoo kua curious af ukifika mahala sasa ukakwama ndo uulze make hapo mtu akisema aanze kuelezea na concept ya gravity... Kuna mamb hku...
  8. GOLDENSILVER

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    And also Kuna baadhi ya apps ni nzuri pia unaweza tumia kusoma vitabu vingi hasa kutoka kwa famous writers, and some zinatoa options za kukusomea na zinasoma vizuri mnoow, Kuna hii hapaa inaitwa "WOW FM" Mimi natumiaga kusikiliza audiobooks Hapa chini ni display yake na hvyo ni baadhi ya vitabu...
  9. GOLDENSILVER

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Mimi nnaerecommend try out kitabu kinaitwa 1. The Monk Who Sold his Ferrari by Robin Sharma 2. The Alchemist by Paul Coelho 3. Atomic Habits by James Clear The Monk Who Sold his Ferrari kitakua boring mwanzoni but ukifika katikati hutatamani kiishe😅... Ukipata mda pitia pitia Kuna watu...
  10. GOLDENSILVER

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    You are what you believe, but maybe you should think on why may talk about books kubadilisha maisha, make lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja.... Try out some new experiences maybe ni kwl Kuna madini😅... But ukichagua kuendelea kuamini kile unachoamini,... Ni vizur pia
  11. GOLDENSILVER

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    Kiongoz mda unatosha sana, sema mara nyingi priorities ndo zinatofautiana, unaweza ukaamua hata kwa siku unatenga saa moja la kusoma kitabu, auu unaamua kuhakikisha unasoma chapter moja ya kitabu flani. Iingize kwenye ratiba yako.... Inawezekana
  12. GOLDENSILVER

    Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

    😂😂 Kiongoz soma kitabu kinaitwa "the Arabian nights" utanishkuru baadae... Soma na "Can you mend my broken heart" oya wee😂😂
Back
Top Bottom