Au njia y kuamnika sign in kweny googlephoto the backup apo utazkuta mpk picha zako za kwanza uliponunua simu[emoji23][emoji23] sema uwe na bando la kutosha maan utafukunyuliwa albamu ambazo hukiztarajia
Habar wanajamvi hiv kuota nmeng'atwa na mdud nahis nyoka mguu wa kushoto na kustuka tuu yale maumivu unayahs ila skuona aram ya kuumwa ila maumivu unayhs... Nkaanza msako ghetto zima kama kuna mdudu, ila wap ata mende skumuona
Habar wanajamvi
Mim nina ndoto kadhaaa
1.kuota niko jeshin hii ndoto inanirudia mara kwa mara toka ntoke jeshine 2015
2.Juzi nliota nmeng'atwa na mdudu sjui alkua ww aina gan ila nlhsi kama nyoka mguu wa kushoto, nkashtuka yale maumivu nlyahis kabisa nkaanz pekua ktanda mpk uvunguni lkn...
Nakuelewa boss wang lkn ipo neema iptayo mambo yote i mean dhamb zote zntakatishwa na neema na siamin kwamba uzinz iwe dhamb ngum mbele za Mungu ila ukiamin, kukil na kuiacha bas umepata hiyo neema:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.