Recent content by Golden felician

  1. Golden felician

    Jinsi ya kupata cheti cha clinical assistant ikiwa umeendelea na ordinary diploma

    Wandugu niko na mdog angu.pindi anaaply aliomba kuchukua clinical assistant2, now kaendelea na ordinary diploma lkn chuo husika wamegoma kumpa cheti chake ch level 5, ikiwa akuendelea masomo yake (mean L6) kutokan na vikwazo vya ada na supp, so ilibidi achomoe kwanza ndipo aendelee kaenda kuomba...
  2. Golden felician

    Kwa wale wanaohitaji kujiunga na kozi za afya kwa ngazi ya cheti na diploma

    Broo tandabui sio chuo cha kwenda kusoma,mtu kama una ndoto zako za kuwa MD sikushauri uwende pale.kwa sababu chuo kinaendeshwa kihuni2 na akuna ratiba inayoeleweka,so isotoshe awana ata hospitali.kazi ni kwako sasa kuamua Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Golden felician

    Calculation ya GPA ya mwaka wa tatu kwenda degree Clinical Medicine inakuwaje?

    Naomba kusaidiwa jinsi ya kupata GPA ya mwisho wa mwaka wa tatu Clinical Medicine. Wanaanza kuhesabia tangu mwaka wa ngapi? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Golden felician

    NACTE mna nini na course ya Nursing Diploma?

    Baba ata uku clnical medicine ukiwa na supp mbili za nacte uendelei. but agizo ni kichuo tu so nacte.
  5. Golden felician

    D D za form 4 clinical medicine kuomba MD zina hasari yeyote

    Masomo yapi.sababu mimi niko na C ya biology na C ya physic na D ya chemistry.na pindi naapply ilikuwa D flat kuingia chuo.sa malengo yangu mm ni mpaka degree.juzi nilikuwa nasoma guided book ya TCU wao wanataka C mbili ya bio na chemistry na D ya physic.sa apa ndo najiuliza kipindi NACTE...
  6. Golden felician

    D D za form 4 clinical medicine kuomba MD zina hasari yeyote

    Nimeshasoma ndio nimeona hizo sifa. Sasa hapa ndo najiuliza hizi department kwanini hazina connection wakati zinategemeana.sasa hawa watu wote wenye D wataishia diploma tu.au izo principal zilizopo TCU kwenye Guided book zitabadilishwa.ikifika wakati wa hawa wenye D D kugradruate au hamna.sababu...
  7. Golden felician

    D D za form 4 clinical medicine kuomba MD zina hasari yeyote

    Duuh kazi kwelikweli.nikaanze soma upya tena chemistry ili nende MD.sababu niko na C ya biology na physics.
  8. Golden felician

    D D za form 4 clinical medicine kuomba MD zina hasari yeyote

    Naomba kuuliza hivi mtu aliemaliza diploma ya clinical medicine kwa GPA ya 4 na anataka kuomba degree.je anaweza kubaliwa kujiunga ikiwa cheti chake cha form four kina D za masomo ya sayansi. sababu nasikia mpaka uwe na C. naomba kusaidiwa
  9. Golden felician

    Supplementary ya mtihani wa taifa inalipiwa?

    Jaman ningependa kusaidiwa, Kama umeshalipa pesa kwa ajili ya mtihani wa TAIFA kwa ngazi ya CHETI bahati mbaya ukateleza na visupplementary eti Kuna kulipa tena fedha ili ufanye upya mtihani au so Sawa kulipia tena
  10. Golden felician

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hapa tunakomaza dogo letu Rashford.kwa miaka miwili atakuwa mtu hatari.sababu atakuwa maturity Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Golden felician

    Wale waombaji wa Vyuo mwaka 2018/2019 karibuni hapa

    Hivi mwanafunzi kwa ngazi ya cheti anaweza kuhama chuo cha private kwenda chuo cha serikali kwa ngazi ya cheti kada ya afya.naomba usaidizi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Golden felician

    kuhama chuo cha private kwenda chuo cha serikali

    Kupeleka matokeo wizaran na baruq.yanaendaje kwa email au Posta au Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Golden felician

    kuhama chuo cha private kwenda chuo cha serikali

    Nilikuwa napenda kujua kama Kuna uwezano wa mtu kuhama chuo cha private kwenda chuo cha serikali kwa ngazi ya cheti kada ya afya.naomba usaidizi Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Golden felician

    Tatizo la masikio: Fahamu kuhusu sehemu za sikio, magonjwa, ushauri na tiba

    Habari nina shida na kujua nini tiba kamilifu ya sikio langu maana halisikii vizuri nimetumia dawa nyingi lakini sijapona. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom