Wanabodi,
Nimejiuliza hili swali bila majibu - hawa wanaondolewa na Mheshimiwa kisha wanasema watapangiwa kazi nyingine.
1. Je wanaendelea kulipwa mishahara?
2. Mishahara kwa kiwango kipi cha zamani walichofikia au?
3. Wanaenda kazini - wanaripoti kwa nani?
Mh JPM anajaribu kupunguza...
Waziri Mkuu wa zamani wa Israel alihukumiwa miaka 7 baadaye mahakama ikampunguzia ikabaki miezi 19. Ameripoti gerezani kuanza kifungo jana. Ameshitakiwa na kuhukumiwa kwa rushwa na obstruction of justice.
Muhimu katiba mpya ya Tanzania ituruhusu kwa Rais waliopita kuweza kushitakiwa na...
Inawezekana kuwa ushauri mbaya na pia inawezekana kuwa ushauri mzuri. Economics jibu sahihi utalipata baada ya muda kupita. Ni kama gambling.
Kuna uwezekano mkubwa kwamba lengo mojawapo kati ya hizi benki kubwa zilizopo kushindwa kujienda hivyo kuwa open for takeover. Hivyo kutoa nafasi kwa...
International News
TANZANIA
PS performance a threat to reform
A poorly performing Public Service is the biggest obstacle to newly elected Tanzanian President, John Magufuli?s ambitious reform program, many observers believe.
Observers are of the view that President Magufuli has no option...
Hakuna kitu kibaya kwa afya ya Taifa kwa kushindwa kufanya jambo muhimu kwa mustakabali wa taifa kwa hofu ya kwamba "nchi itayumba". Nitatolea mfano wa binadamu kipindi anapokuwa mgonjwa (i.e mlevi wa madawa ya kulevya, alcoholic, nk) lazima awaone wataalam na kuanza matibabu. Daktari atakwambia...
Mfumo umeundwa,kulindwa, kutumiwa na watu. Kwa hiyo tatizo ni watu. Watu kama wanautaka au hawautaki huo mfumo basi utabadilika tu. Ndio sababu naongelea wenye akili timamu watapigania mtu kama huyu aingie madarakani. Bahati mbaya wengi wao hawaoni!
Historia ni somo Zurich na muhimu sana. Tusirudi nyuma sana Iraq na Libya unadhani bila USofA kuweka military muscles Watawala wake wasingekuwapo? Zimbabwe MDC mpaka kesho watajaribu lakini ZANU haiendi popote. Tujifunze jamani, power na jeuri ya ccm imelala wapi? Case in point: Lt.Gen A.Shimbo...
Kofia ili ni yenye nguvu kupita nyenzie Mwenyekiti wa Chama au Rais wa Nchi? Zote hizo mbili amekalia mtu mmoja. Niambie Nani huyo mwenye jeuri ya kumwadhibu vikaoni?
Ng'wamapalala,
Ujumbe ulioweka watakuja wengi sana kujaribu kupindisha.
Nilivyoelewa ujumbe wako: CCM kama chama kina sera nzuri na bora kwa mustakabali wa nchi. Hizi sera zimeundwa kweli kwa maslahi ya Taifa. Tatizo lililopo ni ombwe la uongozi kwenye ngazi husika. Ombwe hili limeanza pale tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.