Recent content by Gogadiholo

  1. G

    Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

    Niwaombe sana, wewe mleta mada na wachangiaji baadhi.... Muachane na hii mada chonganishi katika masuala ya dini ambayo ninyi wote mnaonekana kutoijua kwa undani wake. Waachieni Wanazuoni/ wasomi wa biblia (Maaskofu na Wachungaji) ambao wanafundisha waumini wao makanisani kwa upendo na upole...
  2. G

    Sophia Mjema, baada ya kuzuia upigaji Vishikwambi. Angazia na hawa HESLB waturejeshee pesa walizotukata kimakosa. Prof. Mkenda limemshinda

    Tupo wengi, tupaze sauti zetu ili warudishe pesa yetu. Million 2 ni kubwa sana aiseee! Hili jambo siyo dogo, ni janga la kitaifa na waathirika wake ni wengi mno. Ukiona hadi viongozi wetu hawalikemei unaweza kudhani kuwa wao pia ni wanufaika wa hizo pesa zinazoibwa na bodi ya mikopo.
  3. G

    Waziri wa ofisi ya Rais na Utawala Bora ongea na Maafisa Utumishi na Waziri wa Elimu, HESLB inatutesa watumishi wa Umma

    Nilijaza kuomba refund kwa maelekezo ya bodi ya mikopo tawi la Mwanza. Uki confirm data baada ya muda zinarudi kuwa un-confirmed. nimeshaenda pale ofisini kwao mara 5 bila kupewa ufumbuzi. Wanasema tu kwa ufupi tatizo ni system na watashughulikia. Liquidation letter ilitoka tangu 28/03/2022 na...
  4. G

    Kanda ya Ziwa Tulishawakataa wote walokataliwa na Hayati Magufuli

    Mleta mada... Acha kuleta siasa za ukanda... zungumzia jambo kwa masilahi mapana ya nchi.
  5. G

    CHADEMA Kufungua kesi Mahakamani kupinga Jeshi la Polisi ‘kumteka’ Twaha Mwaipaya

    Pamoja na kuwepo kwa taratibu za kazi katika jeshi la polisi bado mnafanya kazi ki mazoea na siasa
  6. G

    Baadhi ya wapiga debe pale Chato Stand si waaminifu

    Mama mmoja wa umri wa kati ya miaka 65 na 70 alipita pale stand ya mabasi CHATO na kukaribishwa na wapiga DEBE huku wakimhoji anasafiri kwenda wapi. Katika kujieleza mama huyo aliulizia ofisi za NIDA ziko wapi ili akapate huduma ya vitambulisho. Wale wapiga debe walimuuliza yule mama ni kwa...
Back
Top Bottom