Big up xana mkuu umenifariji coz nilitaka nihame asa iv sing'ok pale ndanda na nakuhakikishia kuwa ujumbe wako usha fika na mbuz tutachukua tena so usijar au sio.haaaaaaaarah!!!!!
Unanuka mdomo mwanangu!!!!! embu kapige mswaki ndo uje na uz mwingine maana naisi umejinyea wewe!!! ndomaana unaropoka... "samahan kwa kutumia lugha mbaya mshikaj anakera ebooooooooo!!!!"
teh! teh! teh! teh!!!!!!!!........... kumbe kuna watu niwagum kuelewa eeeeee???? achen ujinga huooo!!!!!! yaan mnao jifanya mangaliba mnataka nyie muingie a level kwa wastan wa 41-60 katika kila somo afu wenzenu waingie a level kwa wastan wa 45-65 kila somo ivi mna akili ninyi tena mtubu...
wachome vilaza haooo! kwanza walipata c 3 za point 41 zilizo wapa 3 ya point 25 ndo wakaenda a level afu wanajiona ni wakali!!!!! ha! ha! ha! haaaaaa!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.