Recent content by Gody Mnazarayo

  1. Gody Mnazarayo

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba ni mtu sahihi kwa wakati sahihi, tusimnange

    Vyama vya upinzani vimeandaa vijana mambumbumbu sana kama walivyo viongozi wao
  2. Gody Mnazarayo

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba ni mtu sahihi kwa wakati sahihi, tusimnange

    Maafisa ugani ni watu muhimu katika maendeleo ya kilimo nchini, kwa kutambua hilo Dkt Mwigulu Nchemba ameongeza bajeti ya Maafisa hao kutoka 603m hadi 11.5 bilioni. Kupita bajeti ya Wizara ya Kilimo 2022/23 Serikali imeanza kujenga viwanda vikubwa vitatu vya kuchakatia nafaka mbalimbali nchini...
  3. Gody Mnazarayo

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba ni mtu sahihi kwa wakati sahihi, tusimnange

    Kwenye Umwagiliaji: Bajeti ya 2021/22 ilikuwa TZS 54bn/-, 2022/23 ni TZS 366bn/-. Kuna 188,000ha exclusively kwa vijana, with TZS 200bn/- in loans. As we speak, interests ya Mikopo ya Kilimo imeshushwa, from 20% to 9%, haijpata kutokea. Niendelee?
  4. Gody Mnazarayo

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba ni mtu sahihi kwa wakati sahihi, tusimnange

    Bajeti ya kilimo cha umwagiliaji 2022/23 ni 76% ya bajeti yote ya Wizara ya Kilimo, ambapo ni zaidi ya robo 3 ya bajeti yote ya Wizara ya Kilimo. Unaanzaje kupuuza jitihada za Mchumi wa Daraja la juu Benki ya Dunia?
  5. Gody Mnazarayo

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba ni mtu sahihi kwa wakati sahihi, tusimnange

    [emoji666]Hivi sasa, miradi mikubwa ya maji katika miji 28 nchi nzima inaendelea yenye thamani ya TZS 1 trillion. [emoji666]Bajeti ya Kilimo ni Bil.954/-, kubwa zaidi kuwahi kutokea nchini. [emoji666]Umeme unasambazwa vizuri. [emoji666]Utalii unakua [emoji666]Barabara zinajengwa [emoji666]Elimu...
  6. Gody Mnazarayo

  7. Gody Mnazarayo

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba ni mtu sahihi kwa wakati sahihi, tusimnange

    Unajua bajeti ya kilimo ilikuwa Sh ngapi na Sasa ni shi ngapi? Hivi Huwa unafikiria kabla hujaandika?
  8. Gody Mnazarayo

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba ni mtu sahihi kwa wakati sahihi, tusimnange

    Dkt Mwigulu Nchemba ni mtu sahihi kwa wakati sahihi. Nimesoma andiko la mwanajf mmoja humu, amemshutumu sana Dkt Mwigulu Nchemba bila hoja za msingi, kama kawaida ya wabongo bongolala. Hivi unawezaje kutuhumu PhD ya Dkt Mwigulu Lameck Nchemba kwasababu katoa speech ambayo haikipendezi chama...
  9. Gody Mnazarayo

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo ni muongo au magonjwa ya uzee yameanza kumnyemelea?

    Na Godfrey Mushi Wasalaam, Imekuwa siku mpya hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema Kwa fursa hii ya uhai na neema zake katika maisha yetu. Jana nimemsikiliza Mbunge wa Musoma Ndugu Profesa Muhongo akichangia hoja zake juu ya mpango wa bajeti uliowasilishwa bungeni na Waziri...
  10. Gody Mnazarayo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: PhD aliyopewa Mwigulu Nchemba ipo kwenye hati hati ya kufutwa

    Maxence Melo Invisible Moderator Mike Mushi Huu Uzi ni uzushi hauna hadhi ya kuwa hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Gody Mnazarayo

    JamiiForums Tanzania Ni vema Mwigulu akavuliwa uwaziri ili kulinda Heshima ya Nchi

    Moderators tunaomba ushahidi wa hili Maxence Melo Mike Mushi Moderator Invisible ASHA dii Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Gody Mnazarayo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Mwigulu na Rutto wanakosea? Tozo haiepukiki Kwa Dunia ya Sasa, Tukubali kubadilika

    Huo ndio ukweli lakini watu hawataki kuukubali Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Gody Mnazarayo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Mwigulu na Rutto wanakosea? Tozo haiepukiki Kwa Dunia ya Sasa, Tukubali kubadilika

    Wigo unaongezwaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Gody Mnazarayo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Mwigulu na Rutto wanakosea? Tozo haiepukiki Kwa Dunia ya Sasa, Tukubali kubadilika

    Mnajiita Influencers mnawaingiza watanzania Chaka Kwa malalamiko uchwara Ili nchi iendelee kuingia kwenye debt trap Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Gody Mnazarayo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, Mwigulu na Rutto wanakosea? Tozo haiepukiki Kwa Dunia ya Sasa, Tukubali kubadilika

    Kwani unataka viongozi wawe wanakuja nyumbani kwako uwalipe? Unataka watumie guta kwenye kazi za watu zaidi ya million 60? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom