Shida siyo mwalimu mkuu, shida ni mifumo ya utawala, jueni kwamba mwalimu ni mwajiriwa wa serikali. Kwa mfumo huu mkurugenzi ndio mwajiri, hivyo automatically mwalimu huyo hawezi kwenda kinyume na mwajiri wake ukizingatia haya utaona kwamba mkurugenzi anaweza kutoa maigizo hata kama yapo kinyume...
Hakuna uchaguzi hapo, jiondoeni mapema ili msije kulalamika tena. Bora waachiwe wenyewe(ccm) huku nyie mkiendelea kujitafakari na kutafuta njia nyingine ya kudai haki au kuipigania, lakini kwa maigizo haya ya CCM, kila siku hamtaacha kulalamika. Chukueni hatua
Tanzania ni moja kati ya nchi zinazopiga hatua katika maendeleo kwenye nyanja mbalimbali barani Afrika. Ni nchi iliyojaliwa raslimali nyingi kama madini, maji, misitu, mbuga za Wanyama na watu kama kiungo katika kuleta maendeleo. Licha ya hayo, bado kasi yake hairidhishi ikilinganishwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.