Recent content by Godwin Wilson

  1. Godwin Wilson

    JamiiForums Tanzania Acheni kuifananisha Morogoro na vitu vya kijinga

    Waambie hao mkuu Moro ni nchi kabisa inayojitegemea kwa maana mahitaji muhimu ya binadamu utayapata Moro Mfano Umeme wa Tanzania unatoka nchini Morogoro Viwanda vikubwa vya Sukari vinatoka nchini Morogoro Madini kibao nchini Morogoro Stend ya mabasi nzuri zaidi kupita zote nchini Morogoro...
  2. Godwin Wilson

    JamiiForums Tanzania Msaada INCUBATOR

    Sisi ni watengenezaji na wauzaji wa mashine za Incubator za aina mbili Zinazotumia umeme Zinazotumia nishati ya jua na gas Tupo Dar es salaam Ubungo Riverside Kwa mawasiliano zaidi 0713 852 296 0755 450 970 0787 309 396 Karibu sana
  3. Godwin Wilson

    JamiiForums Tanzania Msaada INCUBATOR

    Karibu mkuu sisi ni watengenezaji wa hizo mashine za incubator Kwa maelezo zaidi ili ufahamu utendaji wake unaweza piga simu 0713 852 296 0755 450 970 0787 309 396 Au fika ofisini kwetu DAR ES SALAAM Ubungo Riverside Karibu sana
Back
Top Bottom