Recent content by godson Lomayani

  1. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kamanda wa Polisi ACP Jonathan Shana afariki Dunia

    ALIKUWA SO-1 PALE CHUO CHA POLISI MOSHI
  2. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kamanda wa Polisi ACP Jonathan Shana afariki Dunia

    DAH! RIP KAMANDA SHANNA ALIKUWA ANANIFURAHISHA SANA NA TAARIFA ALIZOKUWA ANATOA KWA WAANDISHI WA HABARI UTAMSIKIA AKISEMA "KILE KIKOSI KABAMBE NA MAHIRI CHA POLISI KILIPAMBANA NA MAJAMBAZI KWA MUDA WA SAA 2. UKIBANDUA SISI TUNABANDIKA,UKIBEEP SISI TUNAKUPIGIA.TUTAWASAKA UVUNGU KWA UVUNGU.NI...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Azam TV vipi tena?

    Nashukuru Mkuu ntajaribu Auto search
  4. G

    JamiiForums Tanzania Azam TV vipi tena?

    Mkuu nitafuatilia kubaini hiki ulichokisema then ntachukua hatua mara moja.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Azam TV vipi tena?

    Basi Mkuu naona hiki hakinifai.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Azam TV vipi tena?

    Hahahahaa! ni kwa ajili ya kufuatilia mwenendo mzima wa Kampeni,huwa hawa wanaonyesha kwa kirefu.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Azam TV vipi tena?

    Mkuu na mimi nilikuwa na wazo hilo, lakini ngoja niwape muda kidogo.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Azam TV vipi tena?

    Sawa, ngoja na mimi nisearch upya Mkuu.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Azam TV vipi tena?

    Nashukuru Mkuu, ngoja nijaribu kama ulivyonielekeza.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Azam TV vipi tena?

    Licha ya kulipia package ya Tshs 23,000/= lakini tangu juzi nimekuwa sizipati baadhi ya channel kama: 1. AZAM SPORT TWO 2. AZAM HD NICKELODEON 4. TBC ONE Na nyingine nyingi tu hazipatikani, sasa sijajua shida iko wapi. Kifurushi changu bado ndio kwanza kina wiki moja tangu nikinunue. Msaada...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Posho za maaskari kulikoni, tarehe 30 imeshapita au tumeishiwa

    Wewe ni Askari wa TANAPA? Askari aliyekula kiapo cha utii, hawezi kuandika utumbo uliouandika.Siku zote Askari aliyeiva kimafunzo anakuwa mvumilivu na msiri. Nakushauri hii kazi haikufai tafuta kazi nyingine au rudi kijijini kakamate jembe, bunduki haikufai.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Prof. Hamisi Malebo (PhD), azindua dawa ya Corona

    Keshakwambia imethibitishwa na Mkemia Mkuu wa Serikali. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. G

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa (Kutosikia harufu): Fahamu chanzo na namna ya kutibu tatizo hili

    Mkuu hali hiyo isikupe pressure, relax. Mimi pia takriban wiki mbili zilizopita hali hiyo ilinitokea nikashangaa kwa sababu sijawahi kuexperience tatizo hilo nilikuwa sisikii kabisa harufu hata wife akijipulizia perfume sisikii chochote nikila chakula hata kama kimewekewa viungo sisikii harufu...
  14. G

    JamiiForums Tanzania RC Tabora, ingilia kati kwa askari wa JWTZ kupiga raia ovyo

    Hapo umenena ukweli ni wakati muafaka kujitathmini sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  15. G

    JamiiForums Tanzania RC Tabora, ingilia kati kwa askari wa JWTZ kupiga raia ovyo

    Mlenda? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom