Recent content by Godlisten minja

  1. G

    JamiiForums Tanzania Toyota nadia (2003) for sale. In very good condition

    Kweli wewe sio mjinga/limbukeni. Mjinga/limbukeni ni huyo aliye ku PM, ni wale wenye imani tulizo kuwa nazo zamani kuwa bei ya gar ni hela iliyojaa gunia. Na kujitapa huna shida unakosea, sema shida uliyo nayo ili mtu akupe hyo bei kama part ya msaada wake kwa yeye kuguswa na kilicho kusibu, ila...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa bunju

    Bunju kiwanja cha size hyo hakizidi 6M na hapo dalali ashakula lakini. Ni maoni tu japo biashara ni huria huenda utampata unaye mtafuta.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Huyu Polisi Bonge Serena Anapokea rushwa za Bodaboda nani Anamlinda

    Rushwa za trafic case zisiishe jamani hatutaishi. Ukikagua gari asilimia kubwa zina matatizo kibao yanayo stahili faini. Trafic aliwa serious akikuandikia zote si utauza gari? Halafu utakuwa imesaidia nini wakati fedha hizo wajanja watazipeleka uswiz? Acha walala hoi wenzetu wafaidi bwana...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha sita ya mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka

    Fgtft tctft usiogope kufeli mtihani ni ruhusa na haki, hivyo kusema ukweli kuwa kafeli sio dhambi na hatukanwi ni sawa tu na kusema au kuonesha matokeo ya mtu aliyepata first class.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Heaven on earth avamiwa na kujeruhiwa vibaya

    Pole sana wish u quick recovery
Back
Top Bottom