Kiwanja kinauzwa bunju

Kiwanja kinauzwa bunju

Englishlady

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
2,734
Reaction score
3,655
Kiwanja kinauzwa Bunju A maeneo ya Chalii. Kina ukubwa wa 35 kwa 25. Ni 20M lakini hakijapimwa.
 
Bunju kiwanja cha size hyo hakizidi 6M na hapo dalali ashakula lakini. Ni maoni tu japo biashara ni huria huenda utampata unaye mtafuta.
 
Bunju kiwanja cha size hyo hakizidi 6M na hapo dalali ashakula lakini. Ni maoni tu japo biashara ni huria huenda utampata unaye mtafuta.

Sio kweli, unaongea kwa hisia. Dar huwezi pata kiwanja kwa bei hizo na wala sio Bunju. Bunju viwanja viko juu sana. Nionyeshe hicho kiwanja nikavinunue kwa bei hiyo.
 
Sio kweli, unaongea kwa hisia. Dar huwezi pata kiwanja kwa bei hizo na wala sio Bunju. Bunju viwanja viko juu sana. Nionyeshe hicho kiwanja nikavinunue kwa bei hiyo.


Acha ubishi halafu unaonekana kilaza aisee unasema kwa bei hiyo dar hapati?

chanika..gezaulole umefika?
 
Juzi Nmenunua kiwanja cha kupima Bunju Njia ya kwenda Mabwe Pande karibu na kituo cha kulelea watotot yatima KIWOHEDE eneo la Mradi(26X40)= Tsh 15,000,000/-

Sasa hicho chako ambacho kipo uswahilini kwenye squater area, ndo unauza bei hiyo!?

Huenda utampata unaye Mtafuta kama asemavyo GODLISTEN MINJA.
 
Nimenunua Bunju B miguu 20 *37 m6 hicho chako baadae sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom