Recent content by godfreymanyonyi

  1. G

    Buhohela analipwa na ITV, Magufuli au CCM?

    Ahadi za ccm na magufuri ni za kufikirikika zaidi maana zinatekelezeka mdomoni ila si kwa matendo
  2. G

    Naanza kunusa kitu cha Moto ACT Wazalendo

    Anaenda ikulu hapakii watu kwenye malori bali ananyota ya kifalme na si mwingine ni Edward Ngoyai lowasa akisindikizwa na kura nyingi za umma
  3. G

    MKAPA: "Dunia itatikisika CCM ikianguka"

    Vyama vikongwe na vyenye historia kubwa vimeanguka sembuse ccm,kweli mzee uyu kazeeka vibaya
  4. G

    Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa kutoshiriki mdahalo wa Oktoba 18, 2015

    Kushiriki mdahalo ni jambo zuri sana maana linatupatia picha ni viongozi gani tunaowahitaji,swali unashiriki mdahalo na watu wa kariba ipi,je unaenda kushiriki mikutano na watu waliopoteza kumbukumbu kama uyu ambae hajui rais wa ilaki wala libya ?kama tunahitaji midahalo yenye tija na taifa hili...
  5. G

    Wakuu wa Shule kuagizwa kupeleka Wanafunzi wao kwenye Mkutano wa Magufuli ni halali?

    Mkuu uyo wa mkoa mentally atakuwa na tatzo maana hizi akili za asubuhi zitakuja kuwagharimu sana wakuu wa shule watakao ruhusu upuuzi huu maana watoto wa shule wakizulika uko kwenye mikutano hatutawaelewa kabsa maana watoto hao hawamilikiwi na ccm wala mkuu wa mkoa
  6. G

    Ushauri wa bure kwa Rais na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi

    Mi nafikiri jeshi la polisi lingetimiza wajibu wa kulinda ili uchaguzi uende kwa amani maana kulinda kura si dhambi na si mara ya kwanza kulinda,miaka yote tumefanya hivi kwa mjibu wa sheria ya uchaguzi,sasa hizi kauli za kibabe na jeuri zinazotolewa na viongozi wanazitoa wapi na kwa maslahi ya...
  7. G

    NEC tusaidieni kujibu hoja za wananchi

    Hili ndilo tatzo la kuchagua viongoz ambao hawajitambui na wala hawafuati utawala wa kisheria bali ufuata mawazo yao binfsi pasipo kutathimin athari ya uvunjifu huo wa sheria hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi.Rai yangu kwa watawala wasome majira ya nyakati ili tufanye uchaguzi huu kwa amani...
  8. G

    Chopa hii ilitengenezwa lini?

    Usafir wa anga kunahaja ya kutazamwa upya na viongoz waache majibu mepesi kwa mambo sensitive kama haya
Back
Top Bottom