Recent content by godfrey kibaha

  1. G

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anafaa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Kimei Waziri wa Fedha, Tarimba Abbas Waziri Viwanda na Biashara!

    Dr. Mpango Fedha hawezi kutoka pale amedumu miaka 5 mfululizo yeye na Ummy atawaachache kwa mfano
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wateule wa Rais mguu nje, mguu ndani

    Makonda atarudi
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

    Fedha huwezi ukamuacha Dr Mpango aliedumu kipindi chote 5yrs.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Hii kauli katika hotuba inamaanisha nini mliomsikikiza Rais Magufuli?

    Kauli ya kibabe
  5. G

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kumtambulisha Kassim Majaliwa kuwa ni Waziri Mkuu Mstaafu?

    We ulitaka aitwe nani.
  6. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hata baada ya kudhalilishwa na OCD, Freeman Mbowe aendelea na Kampeni zake za Ubunge jimbo la Hai

    Akishinda Mbowe huyo OCD atapata aibu ya mwaka. Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
  7. G

    JamiiForums Tanzania Magufuli na Lissu kukutana Kigoma kwa mara ya kwanza leo

    Ilipaswa wagombea urais wenye ushawishi mkubwa wasiwepo mkoa mmoja kabisa.
  8. G

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA tumewakosea nini watu wa Muheza?

    Hawakutoa matangazo pia walidanganya last week kuwa angekuwepo Lema alafu asiwepo watu wakajua ni yale yale
  9. G

    JamiiForums Tanzania Hivi TBC kazi yake ni kumwonyesha Magufuli peke yake?

    Tuwape muda watajirekebisha baada ya makubaliano na nec.
Back
Top Bottom