Recent content by Goddie-MM

  1. Goddie-MM

    JamiiForums Tanzania Hospitali Nzuri Arusha Mjini

    Wadau kwema? Tofauti na NSK, naomba kufahamu hospitali nyingine nzuri Arusha ambayo wanapokea kadi ya NHIF, lakini yenye huduma safi.. Natanguliza shukurani
  2. Goddie-MM

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni ngumu sana, kaka mtu kukupatia namba ya dada/mdogo wake?

    Ila hata kwa wasio wahuni ni changamoto
  3. Goddie-MM

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni ngumu sana, kaka mtu kukupatia namba ya dada/mdogo wake?

    Hello wanaJamii... Kwa uzoefu nilionao, kila nikiomba namba ya binti fulani kwa nia njema tu, kutoka kwa kaka mtu inakuwa ngumu sana na hata wakati fulani kusababisha ugomvi...Hii inasababishwa na nini? Kwangu sioni shida yoyote....
  4. Goddie-MM

    JamiiForums Tanzania Mfuko 1 wa cement unajengea tofali ngapi (block inch 5)?

    Hiyo hadi nimuuluze fundi wangu, ila kwa tofali ndio kama nilivyojibu....ukitaka strong building fanya 1cement kwa 50 blocks
  5. Goddie-MM

    JamiiForums Tanzania Mfuko 1 wa cement unajengea tofali ngapi (block inch 5)?

    I mean matofali 45, au 50 na hata 55 huweza kujengwa kwa mfuko mmoja wa cement
  6. Goddie-MM

    JamiiForums Tanzania Mfuko 1 wa cement unajengea tofali ngapi (block inch 5)?

    Kwa matofali ya inch sita, mfuko mmoja wa cement hujenga matofali 465, 50 na hata 55 na si zaidi
Back
Top Bottom