Kwanini ni ngumu sana, kaka mtu kukupatia namba ya dada/mdogo wake?

Swali gani hili unauliza. Au huna blood sister ndo mana huelewi vitu kiundani?
 
Moyo wa mtu ni kiza kinene,hajuwi dhamira yako halisi,kwaiyo kunakuwa na wasiwasi kwamba isijetokea mahusiano yenu na dadaake au mdogo wake yakamletea madhara ndugu yake halafu yeye akaonekana alishiriki kuleta hayo matatizo,mfano umpe ujauzito afu umkatae,lawama lazma ztamuhusu
 
Back
Top Bottom