Recent content by Godbless mtega

  1. Godbless mtega

    Selection za form five 2021 zimetoka?

    Naombeni msaada, nasikia selection za kwenda five2021 zimetoka .. Nilikua naomba msaada wa link itakayonipeleka moja kwa moja kwa selection hizo maana na google lakini sizipati. Msaada wenu please 🙏
  2. Godbless mtega

    Habari zenu wadau.. Naombeni kujua utofauti kati ya IPhone 7+ na 8 +

    wadau nlikua na shida naomben kwa MTU yeyote aloitumia 7+ na 8+ naomba anitofautishie kati ya hizo simu mbili ni ipi bora coz naona kama zote ni sawa tu ..kuanzia upande wa picha na mengine, maana nataka ninunue soon
  3. Godbless mtega

    Naomba mnisaidie hili swali la Ethics limenishinda sielewi kabisa

    Nimejalibu ila hizo page hazifunguki bila kulipia dah.
  4. Godbless mtega

    Naomba mnisaidie hili swali la Ethics limenishinda sielewi kabisa

    Ilo swali mkuu linataka reason ya kukubali Ku sign mkataba au kukataa mkataba yaan apo ndo sielewi
  5. Godbless mtega

    Naomba mnisaidie hili swali la Ethics limenishinda sielewi kabisa

    Nimejaribu ila hizo page hazifunguki bila kulipia dah.
  6. Godbless mtega

    Naomba mnisaidie hili swali la Ethics limenishinda sielewi kabisa

    You are a product manager of a confectionery company that includes small plastic toys with its chocolate sweets. Having met a potential Ugandan manufacturer of these toys at a trade fair in Dar es Salaam, you now visit the company in the Central part of Uganda to finalize a two-year supply...
  7. Godbless mtega

    Simu za kampuni ya Oppo zina ubora?

    nimekubali kua oppo ni machine kunarafiki angu mmoja anaitumia hapa inapiga picha Kali hazina ukungu..ila nimeongeza hela nimedaka Samsung a51 jaman hi simu ni nzuri sana hatakama n ghali
  8. Godbless mtega

    Simu za kampuni ya Oppo zina ubora?

    duu kabda wew ufafanue kidogo kuhusu hiyo remdi not 8t
  9. Godbless mtega

    Simu za kampuni ya Oppo zina ubora?

    Nimeona very take uko pow
  10. Godbless mtega

    Simu za kampuni ya Oppo zina ubora?

    aah hapo sawa maana portrait ndo habar ya mjini now
  11. Godbless mtega

    Simu za kampuni ya Oppo zina ubora?

    sawa ngoja niichek fresh
  12. Godbless mtega

    Simu za kampuni ya Oppo zina ubora?

    vipi upande wa picha inapiga vizuri then ina portrait au kawaida
Back
Top Bottom