Recent content by godbles

  1. G

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma kuliko kufukuzwa kazi, au kufanya kazi alafu ukazulumiwa, nisaidieni wana jf pls

    Waitie wazazi wake aeleze uhuru anao taka. pili pima madhara ya uwo uhuru na hasara zake kwa watoto pitisha uwamuzi usimchekee.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanaume waliooa tu!

    Hapo chakufanya angalia umri wako pili umri wa hao watoto tatu bila kuongea kitu kajipime kama mbeguzako zipo vizuri au laa. Kisha tafuta wazee wenye hekma. kwa ushauri. Ingekuwa ivyo naona poa wakuu.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Viboko 12 vimepita wapi

    Mimi najiuliza? nanyi mnisaidie wana jf.nyerere aliweka utaratibu mzuri wa viboko kwa wanao bainika wamepokea rushwa au kutoa rushwa.au watu wamekua sugu sana au mkubwa hakosei nadhani nchi imekua ndogo kila mtu anaweza kuiweka mfukoni bila kujulikana!!?!!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kwa sera za CCM ndio chanzo cha umaskini wa Watanzania!

    Umaskini wa tanzania upo katika fikra na matumizi mabaya ya raslimali za taifa ikiwepo kujuana na kulindana kifisadi na rushwa.
Back
Top Bottom