Recent content by godaja

  1. G

    Judging Gaddafi with open mind!!!

    mimi nashindwa kuwaelewa watanzania ambao wamekua wakipiga fujo juu ya kifo cha Gadaffi.Swali langu ni moja tu kwa watanzania wenzangu,hivi leo hii JK akitangaza kumuachia madaraka mtoto wake Ridhiwani, mtajisikiaje?
  2. G

    Wajue MADIKTETA 11 wenye vituko

    wabongo mna matatizo makubwa sana ya kumsifia mtu ambaye sio kiongozi wenu kwa kujua mazuri yake...Hivi hata kama marekani ni tajiri ni haki ya watoto wa raisi kwenda Paris kila wiki kucheza kamari kwa kutumia pesa ya serikali?halafu Libya mwenyezi Mungu hakusema itawaliwe na ukoo wa Gaddafi...
Back
Top Bottom