Recent content by God-fearing

  1. God-fearing

    JamiiForums Tanzania HOJA Walimu na Uongozi wa Diamond Primary School wametoa Wapi haki ya kuwanyang'anya watoto wetu mabegi ya shule na kuwatenga madarasani?!

    Ndugu mzazi kuna shule za bure kabisa hakuna kulipia. Sasa kama Unashindwa kulipa Ada kwa wakati unategemea wataendeshaje shule? Peleka mwanao Swahili medium hakuna mtu atakusumbua.
  2. God-fearing

    JamiiForums Tanzania Kwanini Physics na Chemistry hazifundishwi makanisani na misikitini??

    Naunga hoja. Ni heri kungekuwa na kipindi cha maadili kwa watoto wote. Watoto wakafundishwa wizi sio mzuri pamoja na matendo yote mabaya. Wakafundishwa maadili mazuri katika jamii. Mambo ya dini yakafundishwa kwenye taasisi za dini.
  3. God-fearing

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuibiwa na wezi, ninaomba msaada wa mtu anayemjua mganga mzuri

    Mimi namuhisi mwenye nyumba funguo alizonipa alkua ashachongesha au mafundi waliotengeneza hapa kabla sijahamia
  4. God-fearing

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuibiwa na wezi, ninaomba msaada wa mtu anayemjua mganga mzuri

    Uliwafanyaje? Nipe hints basi na mm niwakomeshe
  5. God-fearing

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuibiwa na wezi, ninaomba msaada wa mtu anayemjua mganga mzuri

    Ya mwezi uliopita tulireport polisi na hatujaambulia chochote hadi leo. Sioni kama wanaweza kunisaidia chochote.
  6. God-fearing

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuibiwa na wezi, ninaomba msaada wa mtu anayemjua mganga mzuri

    Nitachunguza kwanza. Asante mkuu
  7. God-fearing

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuibiwa na wezi, ninaomba msaada wa mtu anayemjua mganga mzuri

    Asante sana kwa ushauri. Nimeshalifanyia kazi hili ila bado naogopa
  8. God-fearing

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuibiwa na wezi, ninaomba msaada wa mtu anayemjua mganga mzuri

    Wakuu naombeni msaada. Ijumaa mchana kuna watu waliingia kwangu wakafungua geti na milango (sijui funguo walipata wapi) wakaniibia vitu vyangu then wakafunga milango kama ilivyokuwa. Mwenye kumfahamu mganga anaeweza kurudisha vitu+ kutoa adhabu kali anisaidie. Mwezi uliopita walimfanyia hivyo...
  9. God-fearing

    JamiiForums Tanzania Wachungaji kutaka fungu la kumi kwa lazima

    Dah yan Mchungaji anaitaka hela yako kwa nguvu[emoji23][emoji23]. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. God-fearing

    JamiiForums Tanzania Nilipokwenda kwenye jiji la ajabu na mtu wa ajabu

    Teh teh teh[emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. God-fearing

    JamiiForums Tanzania Nilivyoumbuka kwenye swimming pool

    Yan umejua kunitoa machoz kwa kucheka. [emoji23]. Wazungu wamekuponza
  12. God-fearing

    JamiiForums Tanzania Usinunue vitu vya thamani kwenye nyumba ya kupanga, kabla hujajenga kwako

    Sasa kila mtu akijenga, hizo nyumba za wapangaji watakaa nani?
  13. God-fearing

    JamiiForums Tanzania Jaribuni kuwa na shukrani

    Afuate ushauri huu atakushukuru
  14. God-fearing

    JamiiForums Tanzania Anapika chakula hanipi, hanifulii nguo halafu anataka ndoa

    Ongea nae kwa kina. Mweleze ukweli mambo ya ajabu anayoyafanya. Asipobadilka achana nae.
Back
Top Bottom