Recent content by God Did

  1. God Did

    Nimefuta message ya token za maji napataje tena

    Mwenzenu nimenunua maji, kabla sijajanza mwanangu akashika simu akafuta ,sasa nimejaribu kila njia ili nirudishe nimeshindwa naomba mnisaidie
  2. God Did

    Ushauri: Biashara ya nguo kwa mtaji wa Tsh. 200,000

    Kama nilivoeleza hapo juu .Hela yangu hiyo hapo naomba ushauri kama hela inatosha au nisubir kwanza
  3. God Did

    Natafuta kazi

    Aisee sijui ilikuwaje but nishamcheki inbox
  4. God Did

    Natafuta kazi

    Kingereza nisiwe muongo labda kiswahili hapo naweza sanaa tu
  5. God Did

    Natafuta kazi

    Diploma
  6. God Did

    Natafuta kazi

    Shukrani sanaaa
  7. God Did

    Natafuta kazi

    Habari zenu wakuu , kitaaluma mim ni mwandishi wa habari naomba mwenye kazi jamani kwasasa nipo tayari kufanya kazi yeyote ile ,iwe usafi ,carwash ,dukani kikubwa iwe ya kwenda na kurudi . Location nipo Iringa Igumbilo
Back
Top Bottom