Watanganyika wengi waliamini ndo wakati wa kuchukua nchi yao. Wendawazimu kabisa hawa. Waliamini ni wakati wa nchi kumilikiwa na kufaidisha wote.
Kama Samia asingeruhusu yale mauaji makubwa toka Tanganyika iundwe nadhani kwa sasa nyie machogo mngekuwa huru na nchi mkitaka kuiendeleza mtakavyo...
Huyo dogo. Angekula viboko vya kutosha sana. Kisha ngemfungia ndani na kwenda kuchukua polisi wamweke ndani. Bank ningeenda kutoa taarifa na uthibitisho wote. Kisha hizo pesa zingetolewa asingepata hata tsh 50 ya njano.
Sisi wana CCM tulianza ichukia zamani sana Simba S.C hii team wanajifanya wao ndo wasomi, wao ndo waelewa.
Simba ikifungwa huwa nawahi Msikitini kufanya usafi na swala . Nakuwa na furaha sana. Hili li team linatumika na wapinzani wa CCM pia kuhujumu harakati. Mi silipendi kabisa. Nlishapigwa...
Nacheka sana. Zamani zitto junior alikuwa kama ana akili akili flani hivi. Nadhani kutokana na watu aliokuwa anajihusisha nao.
Ameenda kugaragazwa na Baba Levo. Yaani watu walikubali ushauri wake tu wa kumchagua Rais Samuya. Yeye wakamgaragaraza kama mbwa koko. Kwa sasa hata akiitisha mkutano...
kuna member mmoja humu baba yako alichoweza kugundua ni kukwea mnazi kwa mkono mmoja kwa kutumia vaseline iliyopashwa moto kidogo. upo hapa anamponda Elon Musk.
Unazungumzia marehemu Hayatollah? Mojtaba anaishi kwenye mashimo sasa kama panya. Iran hali tete ipo hoi. Mademu tu walienda watia vidole wairan kwao mule mule. Ukiacha kuuliwa kama kuku kwa paggers. Unafahamu Hayatollah mwingine alikufa kma panya aloyedondoshewa tofali?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.