Recent content by goboka

  1. goboka

    JamiiForums Tanzania Marekani Yatangaza Vikwazo dhidi ya Iran

    we mponze mwenzako....aone kitakacho mkuta... wale ni IRAN siyo ushubwada new york itakuwa unga..
  2. goboka

    JamiiForums Tanzania Tatizo namba moja la Yanga ni Clement Sanga

    kinacho onekana ni kutakuwa na kutemwa kwa wachezaj weng msimu ujao..hvyo hzo n mbinu za kuwatoa wachezaj katka mood.. Hata wakiambiwa suala la kutemwa wasiumize kichwa cha zaid ni wao kufikiria kuondoka wenyewe kwa hali hii...
  3. goboka

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli Simba sasa ina wapenzi wengi kuliko Yanga

    binafsi ni shabiki wa yanga ..naweza sema nina mapenz na mpira wa miguu ila sina mapenz na ulevi wa timu kiasi kwamba hata timu yangu ikikosea niendelee kuipa sifa... kwa maono yangu simba kwa sasa inacheza mpira wa kimataifa yaani (PASI,COUNTER ATTACK,DIFFENSIVE)nk vyote vinapatikana simba...
  4. goboka

    JamiiForums Tanzania Tujiandae kumpokea Mbwana Samatta muda wowote kuanzia sasa!!

    kaka upo sahihi. ila kutokana na perfomanc ya msimu uliopita anaweza akaendelea kucheza balani ulaya kwa timu nyingine... maana genk ni timu kubwa,kwahyo timu ndogi za ligi hiyo zinaweza kumuhitaji..... MFANO LUKAKU ANAWEZA KWENDA STOCK CITY
Back
Top Bottom