Recent content by goblin

  1. goblin

    JamiiForums Tanzania Apson Mwang'onda aendelea kumtapeli Lowassa. Amhakikishia kuwa ameshinda Uchaguzi na Ikulu ni yake

    Lizaboni Kwenye kikao alikuwepo lowasa, mbowe, sumaye, kingunge na apson sasa ww nani kakupa taarifa kati ya hao au ndo kujitekenya na kucheka mwenyewe
  2. goblin

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa CCM Magufuli aiteka Bagamoyo, azungumzia Gesi

    wapi ww ukweli unauma watu tumeshtuka mwaka huu mabadilikoo tu ndo dawa yenu fisiemu
  3. goblin

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa CCM Magufuli aiteka Bagamoyo, azungumzia Gesi

    leo nimefaid kwely mm mbagamoyo, buku teni ya bure, T-shirt ya kudekia ya njano na fiesta ya bureeee kabisa
  4. goblin

    JamiiForums Tanzania Mchezo mchafu. Lowassa atenga fedha kununua kura milioni 10

    tulia ww, nimeajiandikishia chuon na sina hela ya kurud kupiga kura huko na mm ni chadema damu kwanini nisitoe kadi yangu bure hadi ninunuliwe
  5. goblin

    JamiiForums Tanzania Mchezo mchafu. Lowassa atenga fedha kununua kura milioni 10

    yangu ntatoa bure
  6. goblin

    JamiiForums Tanzania Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata wa kienyeji kibiashara

    Habarini wana jamvi, mwenye utaalamu zaidi kuhusu ufugaji wa bata hasahasa mahali na mazingira yapi wanapenda kutaga mayai yao. Kwa kifupi ninao bata watatu, dume na jike mbili ambao hawajaanza kutaga na nimefanikiwa katika kuwalisha na kuwatunza kwani afya zao ziko poa ila sina ujuzi na jinsi...
  7. goblin

    JamiiForums Tanzania soko la ajira kwa programming likoje tz? both kujiajiri na kuajiriwa

    si hilo tu watu wengi wanaenda soma hawana uelewa na fani ya IT ndo mana wanaona uguma kwenye programming na kuishia kukimbilia vitu rahicrahic ilimrad wamalize chuo
  8. goblin

    JamiiForums Tanzania syllabus ya networking

    umenifungua mawazo mkuu wacha namimi nifanye mpango wa kuisoma hyo CCNA
Back
Top Bottom