Recent content by gnsulwa

  1. G

    JamiiForums Tanzania Picha: Jinsi balozi Wa Urusi alivouliwa

    Alionyesha kitambulisho cha polisi
  2. G

    JamiiForums Tanzania Picha: Jinsi balozi Wa Urusi alivouliwa

  3. G

    JamiiForums Tanzania Picha: Jinsi balozi Wa Urusi alivouliwa

  4. G

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Sumaye na Safari wawafunda Wabunge CHADEMA jinsi ya kukabiliana na mizengwe ya CCM Bungeni

    KUB kashindwa nini mpaka wahitaji nguvu ya ziada? Au Kuna namna wanataka kucheza na lobbying kwa wabunge wa CCM?
  5. G

    JamiiForums Tanzania CCM Ndio Chama Tawala Lazima Iongoze Mchakato Wa Katiba Bungeni!!

    Leo tarehe ngapi vile?
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watanizia wamesahaulika kwenye msiba wa mandela?

    asante sana kwa kunielewesha kuhusu wimbo,je kuhusu bendera na stahiki ya tanzania kutambuliwa katika ,mchango wake kusaidia harakati za mandela kupambana na utawala wa kibaguzi
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watanizia wamesahaulika kwenye msiba wa mandela?

    can you ask your fellow friends if in S.A as to why Tanzania is totally neglected regardless of her big role that was recognizined even by the late Madiba(the s.a father of nation)himself.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watanizia wamesahaulika kwenye msiba wa mandela?

    1.kw.kwa nini melody ya wimbo wa taifa inafanana na melody ya wimbo wa afrika kusini? 2.kwa nini bendera ya taifa ya taifa inafanana na bendera ya afrika kusini? 3.mandela alitokea tanzania mazimbu morogoro baada ya kukutana na nyerere kuweka mikakati ya kupigania haki za waafrika kusini dhidi...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya: Meli ya Tanzania iliyobeba unga wa Sh. Bilioni 123 yazua kizaazaa nchini Italia!

    Meli kusajiliwa tz haina maana kuwa ni ya tz.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Kanuni hii ndio imemtimua Mbowe bungeni - Ndungai yupo sahihi

    Acheni ushamba wa fikra. Waziri mkuu ni kiongozi wa shughuli za serikalini bungeni. So serikali na bunge ni mihimili miwili tofauti. Mbowe yeye ni anaongoza kisehemu kidogo tu ndani ya mhimili wa bunge. So Kwa vyovyote vile waziri mkuu huwezi kumfananisha na KUB
  11. G

    JamiiForums Tanzania Obama hajaondoka burebure tu alisema

    Hapo Obama alilenga zaidi kupeleka ujumbe kwa Mohamed Morsi , Rais wa Misri aliyepinduliwa jana
  12. G

    JamiiForums Tanzania FBI Watua Arusha kwa ajili ya upelelezi wa bomu mkutano wa CHADEMA

    Msidanganyike. Hakuna kitu kama tume huru. Kila mtanzania ana chama anachokipenda na kukiamini. Judges are no exception. Ktk mazingira kama huwezi ku avoid biasness. Waache fbi waje kwani hawana chama
  13. G

    JamiiForums Tanzania Angalia Tofauti Hii KUBWA Kati Ya Marekani Na Tanzania...!

    Points zako Dr Slaa ni nzuri sana ila kuna typing errors nyingi sana kiasi wasomaji tu apata shida kidogo. Sijui ni ww umechapa au secretary wako. Jaribu kuwa makini kidogo na vitu vidogo hv coz utaiaibisha nchi siku moja ukiwa Rais. Nikirudi kwenye mada, hivi kwa siasa zetu tz, ni mwananchi au...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kamanda Paul Chagonja tunaomba majibu thabiti ya maswali haya tata

    Kama Maswali ni tata hata majibu yatakuwa tata.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Mabilionea Tanzania wakutana na Rais Obama

    Hao ndo wafadhili wa CCM 2015
Back
Top Bottom